Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,076
- 5,483
- Thread starter
- #201
Daaah ndio ukweli japo mchungu😢 ila nachoshukuru kuwa mama ndio mtu ninaemjali kuliko kiumbe yoyote dunianiVijana saiz akili hamna kabisa et anasema na kusema eti namhudumia kila kitu yan usikute hata mama yake mzazi hafanyi chochote kwake
Kwa kweli kizaz kinapotea kwa kas sn
Huyo mwanamke ana mtu mwingine anaempenda na anampa yote ila hela unatoa kwako