Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Niwe nmekuoa au sijakuoa kama nakuhudumia unapaswa unipe, sasa tuliingia kwenye mahusiano ya kimapenzi yanini? Wanawake kuna ka umuhimu fulani huwa mnajipa ili kufosi mambo.Ujamuoa unataka upewe kila siku...
Shika adabu yako...
NB: Kile kikao cha wanawake tilikubaliana kuwa tusiwape mpaka ndoa.
😄😄😄Unamhudumia kwa kila kitu kwani ni mkeo? Au ni mzazi wake? Vijana acheni kujitwisha majukumu yasiyo yenu kisha mnakuja kulia lia humu.
Mwambie movie zinamdanganya sanaAtaki kuolewa kwa sasa ana miaka 23 kasema mpaka afikishe 27
Yes ndicho nilichoamua kufanyaMkuu kama unaona hakufai kwa hayo masharti yake achana nae tafuta mwingine
Hakika mkuu nina mdada fulani ana miaka 25 ni bonge fulani hivi yani yeye anachotaka ni ndoa aisee na kila unapoitaka anailetaShida ya vitoto vya 2000 ndo hy, tafuta mshangazi uone kama hajakwambia 2x3/7/365
DaahWenzio wanakula taratibuuu
We shikilia mapembeee
Yes kila wiki anataka umpe hela ys matumizi hapa penyewe jana kaniomba 30k ya kusuka nikamwambia nitakupa keshoNa Hela anataka kwa wiki?
Shukran mkuuDuh. Na bado uko naye?!
BWAGA HARAKA SANA! UTAPATA STRESS MWANAUME!
Mbona hela mnataka kila siku🤣🤣🤣 Kilasiku ni kwa mume tu
Inawezekana kaka nimekuelewa vemaHakupendi ana mwanaume mwingine anae mpa, wewe kwako anataka hayo matunzo au huduma.
Future ipi wakati nilishamwambia kuwa nataka nimuowe akakataa akasema kwa saiv bado mdogo mpaka afike atleast miaka 25Kaona hakuna future unataka kujipigia tu bila utaratibu 😃
Itakuwa sijapendwa I thinkMambo ya sex hayana muongozo
Wewe unaamini mpenzi wa mleta mada ni kweli hataki kufanya sex hadi miezi mitatu ipite ama jamaa hajapendwa tu?
Shida ni moja wakuu anaweza kuja home ukamchezea yani ukamfanyia romance ya kibabe ana anaenjoy sana mwisho wa siku ukitaka mzigo anakubania tena anasema ajiskii kusexMambo ya sex hayana muongozo
Wewe unaamini mpenzi wa mleta mada ni kweli hataki kufanya sex hadi miezi mitatu ipite ama jamaa hajapendwa tu?
Muaya kwa maelezo yakeNj mjita?
??
Verry sure mkuuKama ungekua mwanangu wa kiume ningekukata shingo, mwanamke kadri unavombembeleza na kumfuata ndivo anavozidi kukusumbua , achana nae tafuta mwingine huyo ana wake anaemuelewa na kumpa kila akitaka ,
Yeah safi sana kaka nimekuelewa vzrNa wewe cha kufanya, piga pini huduma zote kimya kimya. Wala usimlazimishe kukupa.
Akileta huduma lipia afu pita hivi.
Akiweka kigingi, weka chuma.
Akiweka ugoko, weka jiwe.
Tit for tat....
Na Tunawachomeka Chuma Haswaa Na Vilivyo Vitamu Sasa😅Dah nimexperience hii kitu hakuna msichana anataka kuolewa under 25 wote wanataka kutombwer tu huo umri