Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Niwe nmekuoa au sijakuoa kama nakuhudumia unapaswa unipe, sasa tuliingia kwenye mahusiano ya kimapenzi yanini? Wanawake kuna ka umuhimu fulani huwa mnajipa ili kufosi mambo.Ujamuoa unataka upewe kila siku...
Shika adabu yako...
NB: Kile kikao cha wanawake tilikubaliana kuwa tusiwape mpaka ndoa.