Uhuni katika mahusiano

Uhuni katika mahusiano

Ujamuoa unataka upewe kila siku...

Shika adabu yako...

NB: Kile kikao cha wanawake tilikubaliana kuwa tusiwape mpaka ndoa.
Niwe nmekuoa au sijakuoa kama nakuhudumia unapaswa unipe, sasa tuliingia kwenye mahusiano ya kimapenzi yanini? Wanawake kuna ka umuhimu fulani huwa mnajipa ili kufosi mambo.
 
Pole sana, kwanini na wewe usimwambie kuwa kukuhudumia Kwa kutoa pesa Kila siku unazeeka pia maana unakomaa na kazi na stress za kutoa huduma huko si kuzeeshana pia. Kama unakula vya watu basi ni lazima na vyako pia viliwe na kinyume na hapo ni ubinafsi na kama ni ubinafsi wa aina hiyo basi Kila mmoja asahau kuhusu mwenzake. By the way inavyoonekana umekamatwa sana maana hili si jambo la kufikiria sana.
 
Shida ya vitoto vya 2000 ndo hy, tafuta mshangazi uone kama hajakwambia 2x3/7/365
Hakika mkuu nina mdada fulani ana miaka 25 ni bonge fulani hivi yani yeye anachotaka ni ndoa aisee na kila unapoitaka anaileta
 
Mambo ya sex hayana muongozo
Wewe unaamini mpenzi wa mleta mada ni kweli hataki kufanya sex hadi miezi mitatu ipite ama jamaa hajapendwa tu?
Itakuwa sijapendwa I think
 
Mambo ya sex hayana muongozo
Wewe unaamini mpenzi wa mleta mada ni kweli hataki kufanya sex hadi miezi mitatu ipite ama jamaa hajapendwa tu?
Shida ni moja wakuu anaweza kuja home ukamchezea yani ukamfanyia romance ya kibabe ana anaenjoy sana mwisho wa siku ukitaka mzigo anakubania tena anasema ajiskii kusex
 
Kama ungekua mwanangu wa kiume ningekukata shingo, mwanamke kadri unavombembeleza na kumfuata ndivo anavozidi kukusumbua , achana nae tafuta mwingine huyo ana wake anaemuelewa na kumpa kila akitaka ,
Verry sure mkuu
 
Na wewe cha kufanya, piga pini huduma zote kimya kimya. Wala usimlazimishe kukupa.
Akileta huduma lipia afu pita hivi.
Akiweka kigingi, weka chuma.
Akiweka ugoko, weka jiwe.
Tit for tat....
Yeah safi sana kaka nimekuelewa vzr
 
Back
Top Bottom