Uhuni katika mahusiano

Uhuni katika mahusiano

Wakuu hivi ni sahihi kwa mwanamke ambae ni mpenzi wako unamjali na kumuhudumia kila ila yeye sex anakupangia anasema et inazeesha.

Na kasema atakuwa ananipa tendo kila baada ya miezi 3 au miwili. Mimi nikamuomba walau mara 1 kwa wiki akagoma kabisa

Hivi mtu kama huyu kuna haja gani ya kuendelea nae huu c uhuni kabisa.
Unamhudumia kila kitu ukimaanisha umempangia,umemnunulia gari na unalijaza wese weekly/unampa nauli,kuanzia kula yake asubuhi hadi jion ni kwako,mavazi,matibabu na kila kitu kinachohitaji pesa ni wewe na hana ajira yoyote.Mwanamke unayemuhudumia kwa kiwango hichi hawezi kuwa na maamuzi ya kukunyima pussy hata kama anataka hvyo.mkeo pekee ndo unaweza mpa hzo huduma zote na pussy akakunyima vilevile.
 
Ndoa ni utapeli baba Dickson

Tunza kibunda chako,zingatia sheria mkononi
Epuka UTI sugu
Mwaka huu natamani nibaki tu kwenye sheria mkononi just imagine mwaka Jana tu nmefuta mademu 27🥶na hapo Sina mahusiano yaliyodumu Ata mwezi Yann Nikiona chupi nataka tu niigonge ni aachane nayo
 
Unamhudumia kila kitu ukimaanisha umempangia,umemnunulia gari na unalijaza wese weekly/unampa nauli,kuanzia kula yake asubuhi hadi jion ni kwako,mavazi,matibabu na kila kitu kinachohitaji pesa ni wewe na hana ajira yoyote.Mwanamke unayemuhudumia kwa kiwango hichi hawezi kuwa na maamuzi ya kukunyima pussy hata kama anataka hvyo.mkeo pekee ndo unaweza mpa hzo huduma zote na pussy akakunyima vilevile.
So ushauri wako ni upi?
 
Huyo manzi ndio anayeonekana 'alpha' wa hayo mahusiano.

Mwanzoni inaonekana ulifeli kuweka standard zako may be ukihofia atakuja kukuacha na hapo ndipo ulipoteza kama mwanaume..

Demu anakuona wewe ni kumer oriented that's way anakuendesha atakavo. ..

Acha na huyo manzi mwanangu..Tafuta pesa.
Nimekuelewa mkuu
 
Pole sana, kwanini na wewe usimwambie kuwa kukuhudumia Kwa kutoa pesa Kila siku unazeeka pia maana unakomaa na kazi na stress za kutoa huduma huko si kuzeeshana pia. Kama unakula vya watu basi ni lazima na vyako pia viliwe na kinyume na hapo ni ubinafsi na kama ni ubinafsi wa aina hiyo basi Kila mmoja asahau kuhusu mwenzake. By the way inavyoonekana umekamatwa sana maana hili si jambo la kufikiria sana.
Shukran mkuu nitazingatia
 
Back
Top Bottom