Tanzania One 2024
Member
- Nov 13, 2020
- 89
- 132
Nafikiri sauti inasikika Mpaka huu nyuma🤣Unamhudumia kwa kila kitu kwani ni mkeo? Au ni mzazi wake? Vijana acheni kujitwisha majukumu yasiyo yenu kisha mnakuja kulia lia humu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nafikiri sauti inasikika Mpaka huu nyuma🤣Unamhudumia kwa kila kitu kwani ni mkeo? Au ni mzazi wake? Vijana acheni kujitwisha majukumu yasiyo yenu kisha mnakuja kulia lia humu.
Shukran bloodNa wewe mueleze kuwa utamuhudumia kila Baada ya hiyo miezi mitatu
Walewale tuMuaya kwa maelezo yake
Unamhudumia kila kitu ukimaanisha umempangia,umemnunulia gari na unalijaza wese weekly/unampa nauli,kuanzia kula yake asubuhi hadi jion ni kwako,mavazi,matibabu na kila kitu kinachohitaji pesa ni wewe na hana ajira yoyote.Mwanamke unayemuhudumia kwa kiwango hichi hawezi kuwa na maamuzi ya kukunyima pussy hata kama anataka hvyo.mkeo pekee ndo unaweza mpa hzo huduma zote na pussy akakunyima vilevile.Wakuu hivi ni sahihi kwa mwanamke ambae ni mpenzi wako unamjali na kumuhudumia kila ila yeye sex anakupangia anasema et inazeesha.
Na kasema atakuwa ananipa tendo kila baada ya miezi 3 au miwili. Mimi nikamuomba walau mara 1 kwa wiki akagoma kabisa
Hivi mtu kama huyu kuna haja gani ya kuendelea nae huu c uhuni kabisa.
Tukutane kwenye kikao mwisho wa mwezi huuMara nne kwa mwaka bado nyingi sana, iwe mara mbili.
Yaani alivyosema K ina ukubwa wa kutosha kanivuruga sana hajui tu!!😂😂😂 mkuu mbona umeingia ndani sana
Viungo vitaoza😅Kutoka kwa Evelyn Salt "sex ifutwe"
Mwaka huu natamani nibaki tu kwenye sheria mkononi just imagine mwaka Jana tu nmefuta mademu 27🥶na hapo Sina mahusiano yaliyodumu Ata mwezi Yann Nikiona chupi nataka tu niigonge ni aachane nayoNdoa ni utapeli baba Dickson
Tunza kibunda chako,zingatia sheria mkononi
Epuka UTI sugu
Una uhakikaHalafau tendo lenyewe hata nusu saa halimalizi sasa😁😁
Kama Hana wazaziIli ale lazima aliwe tofauti na hapo akahudumiwe na wazazi wake
So ushauri wako ni upi?Unamhudumia kila kitu ukimaanisha umempangia,umemnunulia gari na unalijaza wese weekly/unampa nauli,kuanzia kula yake asubuhi hadi jion ni kwako,mavazi,matibabu na kila kitu kinachohitaji pesa ni wewe na hana ajira yoyote.Mwanamke unayemuhudumia kwa kiwango hichi hawezi kuwa na maamuzi ya kukunyima pussy hata kama anataka hvyo.mkeo pekee ndo unaweza mpa hzo huduma zote na pussy akakunyima vilevile.
Nimekuelewa mkuuHuyo manzi ndio anayeonekana 'alpha' wa hayo mahusiano.
Mwanzoni inaonekana ulifeli kuweka standard zako may be ukihofia atakuja kukuacha na hapo ndipo ulipoteza kama mwanaume..
Demu anakuona wewe ni kumer oriented that's way anakuendesha atakavo. ..
Acha na huyo manzi mwanangu..Tafuta pesa.
Apambane na hali yakeKama Hana wazazi
Shukran mkuu nitazingatiaPole sana, kwanini na wewe usimwambie kuwa kukuhudumia Kwa kutoa pesa Kila siku unazeeka pia maana unakomaa na kazi na stress za kutoa huduma huko si kuzeeshana pia. Kama unakula vya watu basi ni lazima na vyako pia viliwe na kinyume na hapo ni ubinafsi na kama ni ubinafsi wa aina hiyo basi Kila mmoja asahau kuhusu mwenzake. By the way inavyoonekana umekamatwa sana maana hili si jambo la kufikiria sana.
Daah nimecheka😂😂😂😂 by the way shukran brotherhivi kumbe was*nge jazz band bado wapo! wewe ni bwege kweli, kvp upelekeshwe na vikumer vya ajabu ajabu visivyo na hadhi yoyote.
Sawa mkuuMwambie movie zinamdanganya sana