Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,076
- 5,483
- Thread starter
- #181
Sawa mkuu nimekuelewaKama ni kweli hayuko tayari kuolewa kwa sasa achana naye tafuta mwingine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuu nimekuelewaKama ni kweli hayuko tayari kuolewa kwa sasa achana naye tafuta mwingine.
Na hela ya kula utaipata siku unayotoa mchezoMara nne kwa mwaka bado nyingi sana, iwe mara mbili.
Afu mpo wawili chumbani. Unambaka halafu aende polisi au kwa wazazi akashitaki kuwa amebakwa na mpenzi wake ambaye walikuwa chumbani wote wamelala bila nguo..!!Labda kama ni mchezo wa masumbwi, yani miezi mitatu nakuangalia tu?
😷 Nisije andika MATUSI.Kama hutaki uhuni muoe akupe kila siku
Huyo dada namjua,ni katibu mkuu wa vikao vyetu vya kila mwaka
Nafikiri kikao kijacho agenda kuu itakuwa ni hii...kutoa mchezo kila baada ya miezi mitatu
Endelea kula papuchi mara moja kila baada ya miezi 3 maana ndo unachostahili kupewa.So ushauri wako ni upi?
Ukisema wewe tunafunga kitabu.1. Ni hanithi wa kike hivyo hana hisia
2. Alikeketwa hivyo hisia zimepungua sana
3. Anakupenda kwa unavyomjali ila hana hisia za kingono nawewe
4. Kaongopewa kwamba ngono inazeesha
5. Ana mwingine ila hajawa na hakika naye.. Wewe umewekwa kama pori la hakiba
6. Ameingia kwenye vitendo vya usagaji
naona kny hii code umekuja kwa kasiTunafeli sana wanaume....dont date broke ladies bwana
dronedrakeKataa ndoa mama Dick son...🤣
Hmmmm kwaiyo kwenye yooote unayomfanyia yeye anakulipa "K" tu in return,
na bado unabembeleza aendelee kuwepo.
😂😂😂😂😂 uko serious mkuu?Wakuu hivi ni sahihi kwa mwanamke ambae ni mpenzi wako unamjali na kumuhudumia kila ila yeye sex anakupangia anasema et inazeesha.
Na kasema atakuwa ananipa tendo kila baada ya miezi 3 au miwili. Mimi nikamuomba walau mara 1 kwa wiki akagoma kabisa
Hivi mtu kama huyu kuna haja gani ya kuendelea nae huu c uhuni kabisa.
Naogopa sana 😁Muulize mkuu😁
Hakupend anajua had akifika umri huo atakuwa amepata chaguo lakeFuture ipi wakati nilishamwambia kuwa nataka nimuowe akakataa akasema kwa saiv bado mdogo mpaka afike atleast miaka 25
Shida nini mkuu?😂😂😂😂😂 uko serious mkuu?
Aisee nimeumia sana🙁Hakupend anajua had akifika umri huo atakuwa amepata chaguo lake
Vijana saiz akili hamna kabisa et anasema na kusema eti namhudumia kila kitu yan usikute hata mama yake mzazi hafanyi chochote kwakeUnamhudumia kwa kila kitu kwani ni mkeo? Au ni mzazi wake? Vijana acheni kujitwisha majukumu yasiyo yenu kisha mnakuja kulia lia humu.
Pole ndio ukweli la sivyo anatak amalize kuruka ruka kwanzaAisee nimeumia sana🙁
Hapo kimbia kenge ww had tukusanue fala mkubwa wwWakuu hivi ni sahihi kwa mwanamke ambae ni mpenzi wako unamjali na kumuhudumia kila ila yeye sex anakupangia anasema et inazeesha.
Na kasema atakuwa ananipa tendo kila baada ya miezi 3 au miwili. Mimi nikamuomba walau mara 1 kwa wiki akagoma kabisa
Hivi mtu kama huyu kuna haja gani ya kuendelea nae huu c uhuni kabisa.
Umemaliza mkuuVijana saiz akili hamna kabisa et anasema na kusema eti namhudumia kila kitu yan usikute hata mama yake mzazi hafanyi chochote kwake
Kwa kweli kizaz kinapotea kwa kas sn
Huyo mwanamke ana mtu mwingine anaempenda na anampa yote ila hela unatoa kwako
Au tafuta mtu anaemjua au yupo hapo mtaani kwao tengeneza nae urafiki bila yeye kujua utagundus mengi ukute ana mtuwake amemuahid atamuoa akifika miaka 24 au 25🤣🤣Aisee nimeumia sana🙁