Uhuni katika mahusiano

Uhuni katika mahusiano

Kama hutaki uhuni muoe akupe kila siku

Huyo dada namjua,ni katibu mkuu wa vikao vyetu vya kila mwaka
Nafikiri kikao kijacho agenda kuu itakuwa ni hii...kutoa mchezo kila baada ya miezi mitatu
😷 Nisije andika MATUSI.
mwanamke alie kamilika hawezi kuinyima ivyo labda Kuna sehemu huipeleka kushuhulishwa/ kushughulikiwa😊

Ova.
 
1. Ni hanithi wa kike hivyo hana hisia
2. Alikeketwa hivyo hisia zimepungua sana
3. Anakupenda kwa unavyomjali ila hana hisia za kingono nawewe
4. Kaongopewa kwamba ngono inazeesha
5. Ana mwingine ila hajawa na hakika naye.. Wewe umewekwa kama pori la hakiba
6. Ameingia kwenye vitendo vya usagaji
Ukisema wewe tunafunga kitabu.

1.
2.
Zinatosha
 
Wakuu hivi ni sahihi kwa mwanamke ambae ni mpenzi wako unamjali na kumuhudumia kila ila yeye sex anakupangia anasema et inazeesha.

Na kasema atakuwa ananipa tendo kila baada ya miezi 3 au miwili. Mimi nikamuomba walau mara 1 kwa wiki akagoma kabisa

Hivi mtu kama huyu kuna haja gani ya kuendelea nae huu c uhuni kabisa.
😂😂😂😂😂 uko serious mkuu?
 
Unamhudumia kwa kila kitu kwani ni mkeo? Au ni mzazi wake? Vijana acheni kujitwisha majukumu yasiyo yenu kisha mnakuja kulia lia humu.
Vijana saiz akili hamna kabisa et anasema na kusema eti namhudumia kila kitu yan usikute hata mama yake mzazi hafanyi chochote kwake

Kwa kweli kizaz kinapotea kwa kas sn

Huyo mwanamke ana mtu mwingine anaempenda na anampa yote ila hela unatoa kwako
 
Wakuu hivi ni sahihi kwa mwanamke ambae ni mpenzi wako unamjali na kumuhudumia kila ila yeye sex anakupangia anasema et inazeesha.

Na kasema atakuwa ananipa tendo kila baada ya miezi 3 au miwili. Mimi nikamuomba walau mara 1 kwa wiki akagoma kabisa

Hivi mtu kama huyu kuna haja gani ya kuendelea nae huu c uhuni kabisa.
Hapo kimbia kenge ww had tukusanue fala mkubwa ww

Hadi unatia hasira watu fala ww
 
Vijana saiz akili hamna kabisa et anasema na kusema eti namhudumia kila kitu yan usikute hata mama yake mzazi hafanyi chochote kwake

Kwa kweli kizaz kinapotea kwa kas sn

Huyo mwanamke ana mtu mwingine anaempenda na anampa yote ila hela unatoa kwako
Umemaliza mkuu
 
Back
Top Bottom