Tatizo ni wewe kupewa iyo schedule na baby mama wako yani miezi mi3 ndo shoo hauwoni inachekesha hii mkuu😂😂😂Shida nini mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo ni wewe kupewa iyo schedule na baby mama wako yani miezi mi3 ndo shoo hauwoni inachekesha hii mkuu😂😂😂Shida nini mkuu?
...Pumba......
Mtatuua sasaKama hutaki uhuni muoe akupe kila siku
Huyo dada namjua,ni katibu mkuu wa vikao vyetu vya kila mwaka
Nafikiri kikao kijacho agenda kuu itakuwa ni hii...kutoa mchezo kila baada ya miezi mitatu
IkiwezekanaSasa utalazimisha hisia
Hamna mke humo.. kwanza inaonesha ukiondoa sex she has nothing else to offer..Wakuu hivi ni sahihi kwa mwanamke ambae ni mpenzi wako unamjali na kumuhudumia kila ila yeye sex anakupangia anasema et inazeesha.
Na kasema atakuwa ananipa tendo kila baada ya miezi 3 au miwili. Mimi nikamuomba walau mara 1 kwa wiki akagoma kabisa
Hivi mtu kama huyu kuna haja gani ya kuendelea nae huu c uhuni kabisa.