DOKEZO Uhuni mkubwa wanaofanyiwa watumishi wa umma katika michango ya PSSF

DOKEZO Uhuni mkubwa wanaofanyiwa watumishi wa umma katika michango ya PSSF

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Clark boots

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Posts
6,770
Reaction score
6,202
Huu ni uhuni mkubwa unaofanywa either na PSSSF or Hazina kwa maana kwamba michango ya pesa zinazotakiwa kuingia PSSSF haionekani kabisa na hii inapelekea kupunguza kiasi cha pesa ambacho mtumishi mstaafu anastahili kukipata kama kiinua mgongo baada ya kazi kubwa ya kulitumikia Taifa.

Screenshot_20240523-190907_4.jpg

Ni uhalisia kuwa kila mtu akijaribu kuangalia statements zake inaonesha dhahiri kuwa kuna miezi kadhaa pesa haionekani katika michango hiyoo, sasa tunajiuliza hizi pesa huwa zinaishia wapi kama ni huko hazina au PSSSF..
Uthibitisho ni huu, ukitazama hii statement inaonesha michango ya mwezi
SEPTEMBER
OCTOBER
NOVEMBER
FERBUARY
MARCH
APRIL
MAY
haijulikani iliko.
@Mods naomba hii ifike viral zaidi ili wahusika iwafikie.. Huu ni uhuni kabisa.

Pia Soma
~ Kunani PSSSF? Watumishi wanakatwa lakini michango yao haifiki kwenye mfuko
~ Rais Samia: Viongozi wanaiangusha PSSSF, mzigo unaangukia kwa Wachangiaji
 
Hata mimi naona hivyo hivyo. Mwanzoni walikuwa wanaeka fresh tuu sijui ata hapa imekuwaje?
Screenshot_20240612_163153_PSSSF%20Kiganjani.jpg
 
Hata NSSF kuna muda ukiangalia hupati majibu
Mimi kila ikifika Januari au February ya Kila Mwaka lazima nipate statement ya michango yangu ya Mwaka ulioisha ili nione kama kweli miezi yote 12 (Januari - Dec ya mwaka uliopita) wamepeleka michango yangu?? Pia nina faili ambalo huwa naweza Salary payslip za kila mwezi ili siku wakianza za kuleta nawavutia na ushahidi wa slip ikionyesha nimekatwa ila pesa hawajapeleka.
Nimefurahi sana kumsikia Mhe Rias akiwasema hadharani PSSSF majuzi ikulu kwamba wana matatizo makubwa kwenye management yao, nadhani next time Mhe Rais awatumbue tuu...
 
Kama hadi rais analalamika, hakuna kitu
 
Mimi nilihama taasisi tofuati , yaani nina zero kabisa michango inakatwa ila haifiki ...Hwana huduma zozote wapo kimya tu ...
 
Kama ni mtumishi ingia kwenye website yao PSSSF halafu click HOME halafu click self service, halafu click member portal

Ukisign in kwa kutumia number ya simu au email na password ile ile unayotumia kwenye app utaingia

Ukiingia kuna sehemu unaweza ku download taarifa zako za michango. Hii ni muhimu sana

Kuna kisanga nimekutana nacho siwezi kukiweka hapa I'm afraid of cartel
 
Back
Top Bottom