Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
Huu ni uhuni mkubwa unaofanywa either na PSSSF or Hazina kwa maana kwamba michango ya pesa zinazotakiwa kuingia PSSSF haionekani kabisa na hii inapelekea kupunguza kiasi cha pesa ambacho mtumishi mstaafu anastahili kukipata kama kiinua mgongo baada ya kazi kubwa ya kulitumikia Taifa.
Ni uhalisia kuwa kila mtu akijaribu kuangalia statements zake inaonesha dhahiri kuwa kuna miezi kadhaa pesa haionekani katika michango hiyoo, sasa tunajiuliza hizi pesa huwa zinaishia wapi kama ni huko hazina au PSSSF..
Uthibitisho ni huu, ukitazama hii statement inaonesha michango ya mwezi
SEPTEMBER
OCTOBER
NOVEMBER
FERBUARY
MARCH
APRIL
MAY
haijulikani iliko.
@Mods naomba hii ifike viral zaidi ili wahusika iwafikie.. Huu ni uhuni kabisa.
Pia Soma
~ Kunani PSSSF? Watumishi wanakatwa lakini michango yao haifiki kwenye mfuko
~ Rais Samia: Viongozi wanaiangusha PSSSF, mzigo unaangukia kwa Wachangiaji