Uhuni niliofanyiwa na M-Pesa Tanzania

Uhuni niliofanyiwa na M-Pesa Tanzania

Peleka malalamiko katika wall yao ya FACEBOOK huwa wanatoa usaidizi wa halaka
Jaribu ishawahi tokea nikapeleka málalamiko wakalifanyia kazi faster
Jaribu
 
Wanataka ile ile irudi kwanza hapo ni reconciliation baina yao na Airtel ndio maana inachukua muda
kumbuka sikukosea namba, ila ni tatizo la kiufundi kwao, and I guess I am alone facing this problem, wanashindwa kuficha udhaifu wao kwa kunilipa mimi halafu hayo ya kwao watamalizana wenyewe, hayanihusu mimi
 
Mimi nimetumiw muda wamaongez wa elfu9 apa kimakosa sijui ata niufanyie nn option ya change kuw pesa hakuna dah
 
Hizo ndio gharama za kuiamini teknolojia mkuu;kama vipi baki na mavi yako nyumbani
 
Jiunge bando, kuna mtu alinunua muda wa maongezi 300,000 kimakosa 😂😂😂 nilishindwa nimsaidieje
Inauma sn mkuu hiv kwnn wasiweke option kurud katika pesa ya kawaida km uyo laki3 si msiba kbs hii mitandao ina ujanja sn
 
Hizo ndio gharama za kuiamini teknolojia mkuu;kama vipi baki na mavi yako nyumbani
Teknologia ipo vizuri, ila wanaoi-run ndio idiots. Plan B ya kumhudumia mteja lazima iwepo, sio kumtesa client
 
Sasa hivi nimetumiwa SMS "mtu fulani will be working on my query, and expected fix ni tarehe 4-7-2021" hawa watu wana akili vichwani au wamebeba mavi?
 
Hizi ni hasira tu mkuu ukipata hela yako bado line utaitumia tu kutuma hela😂😂😂 hata sie tulisemaga hivi hivi mazoea mabaya!!!

Mzee wangu anatoaga hadi line ila baada ya siku 2 kairudisha hewani!
jamaa wameifinyia ndani 400k ya jamaa aisee..
 
Sasa hivi nimetumiwa SMS "mtu fulani will be working on my query, and expected fix ni tarehe 4-7-2021" hawa watu wana akili vichwani au wamebeba mavi?
hahaahahaha mkuu nisamehe kwa kucheka, kuna jamaa hapo juu alikupa 9 clean days kwa hesabu ya masaa 8 kwa siku kwani hukuamini?!..
 
Juzi 29/06/2021 nilihamisha Tzs 400k kutoka kwenye account yangu ya MPESA kwenda Airtel Money, kumlipa supplier wangu. Muamala huo ukakatwa kutoka kwangu lakini haukwenda AirtelMoney kwa mlengwa. Nikapata meesage "Sorry, transaction was not completed due to technical reasons. Contact customer support for assistance" Nikapiga simu huduma kwa wateja, nikaambiwa wana tatizo na kwamba muamala huo utarudishwa au kutumwa airtelMoney ndani ya saa 24.

Lakini mpaka sasa hivi siku ya tatu muamala haujarudishwa. Leo nimeenda Vodashop naambiwa nisubiri masaa mengine 72!!!! see how foolish these idiots are. Supplier wangu amesimamisha supplies, napata hasara. Nani atanifidia?

Company kubwa wanashindwa kuwa na Plan B badala yake wanawaadhibu wateja bila sababu? Yangekuwa makosa yangu ningeelewa.

Now I know why they are reporting losses, kuna kitu hakipo sawa kwenu.

Wateja kuwa makini kwa yaliyonipata.
Piga show ya TCRA au kimahakama tu.
 
Hatuwezi kufika kwa mwendo huo, huo utakuwa ujima. Nikishapata hela yangu naachana na MPESA, imefikia point ukiwa na hela MPESA usijihesabu kama una quick money ambayo unaweza kuipata ikihitaji. Imagine upo safarini/hotelini na hiyo ndio hela uliyonayo na unatakiwa kulipa bill? Lazima yatakutoka maneno yasiyo ya kistaarabu.
Hawa jamaa hapana, Naomba MPESA mnirudishie hela yangu leo.
Big money huwa nacheza na NMB mobile na simbanking

Hizo mpesa and the like tunanunulia vifurushi tu vya buku 5 Hadi 10 mwisho .

Mtu nikitaja mtumia hela lazima awe na account ya benki otherwise nitampelekea mkononi .

Yashawahi nikuta
 
Benki kuu ilitoa tangazo kuwa kutakuwa na slow down ktk kuhamisha pesa. BOT wanafungwa mahesabu ya mwaka.
Juzi 29/06/2021 nilihamisha Tzs 400k kutoka kwenye account yangu ya MPESA kwenda Airtel Money, kumlipa supplier wangu. Muamala huo ukakatwa kutoka kwangu lakini haukwenda AirtelMoney kwa mlengwa. Nikapata meesage "Sorry, transaction was not completed due to technical reasons. Contact customer support for assistance" Nikapiga simu huduma kwa wateja, nikaambiwa wana tatizo na kwamba muamala huo utarudishwa au kutumwa airtelMoney ndani ya saa 24.

Lakini mpaka sasa hivi siku ya tatu muamala haujarudishwa. Leo nimeenda Vodashop naambiwa nisubiri masaa mengine 72!!!! see how foolish these idiots are. Supplier wangu amesimamisha supplies, napata hasara. Nani atanifidia?

Company kubwa wanashindwa kuwa na Plan B badala yake wanawaadhibu wateja bila sababu? Yangekuwa makosa yangu ningeelewa.

Now I know why they are reporting losses, kuna kitu hakipo sawa kwenu.

Wateja kuwa makini kwa yaliyonipata.
 
Voda waliniibia elfu 10 yangu nilitoa Tigo kutuma Voda Zote line zangu. Tigo hela ilikatwa ila voda ikawa haionekani. Boda wakakubali kuwa na tatizo la network siku hiyo ila hela hawakuweza kuirudisha.
 
Waburuze mahakamani
Mbona wanaburuzika hawa

Ova
 
mkuu kabla ya yote jua kwamba kwao siku moja ni masaa 8, so hizo saa 24 kwao ni siku tatu, umeambiwa subiri saa zingine 72 ambayo ni siku 9.... kua mpole siku tisa zikipita watafute tena. Yalishawahi kunikuta haya mambo.
Nadhani wapo wahuni vodacom wanatumia pesa za wateja kama short term loan. Same problem once Safaricom to Vodacom global transfer.Nilipata usaidizi baadaye Safaricom amboa walikomaa na Vodacom hadi reversal ya transaction fedha zikarudi account ya mpesaKE
 
Ukitaka uhudumiwe upendavyo anzisha kampuni yako, tuachie voda yetu ipo vizuri bwashee
 
Mi niliwahi subiria siku 49 ndo Halotel wakanirudishia hela
 
Nadhani wapo wahuni vodacom wanatumia pesa za wateja kama short term loan. Same problem once Safaricom to Vodacom global transfer.Nilipata usaidizi baadaye Safaricom amboa walikomaa na Vodacom hadi reversal ya transaction fedha zikarudi account ya mpesaKE
I agree, kwa nini miamala mingine inapita, niwe mimi tu? Kwa nini napewa majibu mepesi? do they know the situation I am in? Hierachy ya MPESA/Vodacom hawajui hili tatizo? Ni wateja wangapi wataogopa kutumia huduma zao zisizoaminika baada kusoma mateso ninayopewa mimi?
 
Back
Top Bottom