Uhuni niliofanyiwa na M-Pesa Tanzania

Mbaya zaidi customer relation ya vodacom is pathetic. Sijui incompetence ya wafanyakazi au jeuri tu. Majibu unapewa ya kubabaisha tu. I have nothing but praise for safaricom ambao wao ndio walitatua tatitizo. Customer care safaricom is exemplery.
 
Hatimaye wamerudisha muamala wangu. Lakini nimejifunza
 
Mzee ilitakiwa uendee TCRA tu kuwanyoshaa hawa mbwaa wakulipe fidia
 
mm jana nimeamisha hela toka airtel maney kwenda zantel mpka sasa hijafika, nimewapigia airtel wamesema kunashida kwenye system.
nimejaribu kutoka halopesa kwenda zantel na pia imegoma
inandika system failed..

nafikili kutakuwa kuna shida kweny system yote ya hela...
 
siku nyingine lipa kwa Tigo pesa🤓
 
pole sana naona halotel wamechoka kuona unatuma hela za vocha zantel😂
 
Reactions: _ly
Fungua kesi mahakamani udai na fidia pia ya milioni 20
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…