Uhuni wanaofanyiwa vijana waliokuja kwenye usaili wa kada ya afya kituo cha shule ya Sekondari Galanos, Tanga

Uhuni wanaofanyiwa vijana waliokuja kwenye usaili wa kada ya afya kituo cha shule ya Sekondari Galanos, Tanga

Pambaneni zama zimebadirika no free entry
Sasa hivi udaktari ni kama procurement lazima ule interview dadeki

Miaka miwili high school , mitano chuo tena kwa mateso bila bata plus mmwaka mmoja wa intern,

Then pepa la leseni mwanzo wa intern na baada ya intern ukifeli no leseni


Ukitoboa leseni unakutana na interview 😆😆😆😆

Mbaya zaidi wanaokufanyia inyerview ni wenye diplona na advanced diploma za udaktari plus watu wa human resources
Ukitoboa interview unakutana na DMO au RMO na kupangiwa kituo Cha usweken.
 
Barakoa pia usisahau hawachelewi kusema mvae barakoa, usichukulie utani wenzio walidharau kilichowakuta wanasema ningejua ningebeba
Mkuu barakoa si yeyote tu hata ya kitambaa kizito zinazouzwa kwenye maduka au ni ile tu ya kitabibu yenye ka-ring kwenye pua??
 
Galanos school shule yangu....

Nakupenda nakupendaaa ....

I miss there ...

ephen_
 
Thanks mkuu, Sasa mkuu kama vyeti VYOTE vina majinga matatuz Kwa Nini barua ya utamburisho kutoka serikali ya mtaa niweke majina matatu si Bora waniandikie mawili kama ya kwenye vyeti
Ebu soma tena vizuri ulichoandika hapa
 
Kifupi no kwamba ajira hamna na elimu ya bongoe Haina maana!!
Hats ikitokea tangazo la ajira usimwambie mtoto,ndugu au jamaa kuhusu hilo!

Bora arangue michicha auze kuliko kwenda kwenye interview za kijinga!
 
Mkuu barakoa si yeyote tu hata ya kitambaa kizito zinazouzwa kwenye maduka au ni ile tu ya kitabibu yenye ka-ring kwenye pua??
Wewe beba barakoa yoyote iwe safi itenge pembeni wakawakurupua barakoa itoe
 
Labda mimi ndio naachwa kidogo hapa vile vitambulisho vya utaifa [NIDA ] vina umuhimu gani hapo kama mtu anahitaji barua mara hatu ya kusafiria kwani hakiko integrated na particulars zote za mtu?
uhuni tu.....kusumbua vjana. and why call 8000 while you need 200? Alternatively kila mmoja afanyie sehemu alipo. .... say mkoani ambapo computerised interview inaweza kufanyika . Lakini hii ya kumtoa mtu Arusha kwenda Bukoba , then unamwabia huna Id, ni mateso
 
Narudiaa tenaa unaongea ukiwa hujui uhalisia ukoje huku mtaani.

Mtoto wa kimaskini ana hustle kwa njia ipii? Kazi za saidia fundi, nazo zenyewe za msimu, malipo kiduchu, inasaidia kula na kuvaa tyuuh basi.

Mzazi alihangaika kukopa na kuuza mali ili mwanae baadae awe mkombozii, matokeo yake hollah, umaskini unarandaa kwa wazazi had mtoto husika, kwa kuwa kila kitu kilipotezwa.

Unaowazungumzia wee ni walee watoto ambao wazazi wao wana uwezo kifedhaa, hivyo watapewa nyenzo ya kupambana na life kwa namna ingine nje ya taaluma zao.

Ongeaaa sanaa, ila ombaa yasikukute au kukufikia. [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
Ulivyoandika vyote vinanihusu, umasikini wa kurithi tena umekuwa maradufu.
Tunapambana kwa kila namna lakini hatutoki umri ynakwenda pia.
Wengi hawatambui ila sisi wengine tupo jamii forum kwa kupata taarifa, maarifa ili tupate fursa, kisha siku moja tujitoe katika hali hii mbaya ya umasikini.
Tuna mengi ya kimaisha yetu ila wacha tunyamaze tu.
 
Hi
Mambo ya usaili inabidi uwe makini sana, kitu kidogo kinakuondoa kwenye usaili mazima huku ukiwa huamini kilichotokea tena ukutane na msimamizi aliyenyooka Wala hakuonei huruma kuwa "next time hakikisha uwe nacho"...mfano unaweza Kuta kijana ana nida au ID iliyoruhusiwa vizuri tena, msimamizi akiangalia majina yametofautiana tena ni herufi mfano vya shule ni bahati John bakari na nida ni bahati John bakari hapo jua umeenda na labda mizimu yenu ikuokoe... Hili nilitegemea Kwa kuwa ni usaili wa mara ya kwanza hivyo najua tu lazima Kuna watu tena wengi tu wataliwa vichwa.

Usaili wenyewe unakuta Hadi mwakani tena, lazima kama msailiwa ukipata nafasi basi usiiachie kirahisi.
Hivi unajua baadhi ya vyeti huanza surname badala first name?, hivyo huleta ukakasi kuna muda.
 
Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;
4. Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga
kura,Kitambulisho cha kazi,Kitambulisho cha Uraia, Hati ya kusafiria au barua ya utambulisho kutoka
Serikali ya Mtaa/Kijiji unachotoka

Kijana ana kitambulisho cha kura, anaambiwa alete pia barua ya mweyekiti wa ktaa/kijiji...what next? anaondoka maana hawezi kupatahiyo barua in asuch a short time wakati ana utambulisho mwingine ulioainishwa hapo
uko sawa sana mkuu, serikali yenyewe imeshindwa tupatia vitambulisho tumeishia kupata namba tu na wengi kukosa hizo namba

hii huwafanya kukosa uhalali wa kuendelea na mchakato
 
Kwani ni lazima dakitari kujiajiri afungue hospitali? Hapana kuna madakitari wengi wako nje ya fani zao udakitari kaufanya kama addtional income.......
Watu wanakariri sana. Mtu unashindwa kuwa versatile. Zama zimebadilika. Kuwa na degree ya udaktari haimanishi lazima utibu watu. Mbona watu tuna leseni za udereva na hatujajiriwa kama madereva.
 
Back
Top Bottom