Km Ina Muhuri halisi original wa Mwanasheria true copy of original hio sio mbaya Ila km copy km copy haina hata Muhuri original wa Mwanasheria hio mbayaπ Hii niliwahi kuishuhudia, jamaa anakomaa kabisa kuwa hiyo ni cheti OG wakati kwa akili za kawaida tuu unaona n copy yenye rangi π
Mkuu, hiyo nayo n ishu nyngn tena umeleta.Km Ina Muhuri halisi original wa Mwanasheria true copy of original hio sio mbaya Ila km copy km copy haina hata Muhuri original wa Mwanasheria hio mbaya
Copy Baba copy hawataki makopikopi yenu hayo leta kitu original huna rudi kwenuYaani kapeleka copy ya Affidavity...daah nawew unamtetea hapa..
Bora kapunguzwa hao ndio wanaua wagonjwa
Nimesema kwenye usaili nenda na vyeti original km original sio vilivyo sainiwa na mwanasheria, unanielewa sasa peleka kilichosainiwa na mwanasheria wakutimueMkuu, hiyo nayo n ishu nyngn tena umeleta.
Kumbuka mhuri unapigwa kwenye copies ambazo unatumia kuomba kazi ila wakat wa usaili ni vyeti OG tuu ambavyo havina mhuri wa mwanasheria
Hapo sasa ndio mtihani, mm hua nabeba vitambulisho vyangu vyote na vyeti vyote hadi vya kipaimara ili wasipate sababu.Vingine unakuta list imeongezwa huko huko kwa hio lazima ujiongeze beba kila unachoweza kubeba tena beba original hawataki copy
Sasa mbona ulikuwa unamtetea...Copy Baba copy hawataki makopikopi yenu hayo leta kitu original huna rudi kwenu
Elezea hizo addittional tuone?Naandika kwa masikitiko makubwa nikiona wanachofanyiwa vijana waliokuja kwenye usahili (written inteview) hapa Galanos Tanga.
1. Identification requirements zimekuwa mentioned katika tangazo la kuitwa kwenye usaili. Walio wengi wamekidhi kuja na vigezo/vitambulisho hivyo. Ajabu wasimamizi wameleta vigezo vingine ambavyo haviko kwenye list.
maana yake nini? Kuwapunguza watahiniwa na kuwapa wengine advantage wengine ya kuambiwa in advance vitu ambavyo haviko kwenye tangazo la serikali!
Vijana wanalia na kusaga meno kwa kukosa interview maana wasimamizi wamekomaa na addition identificationa badges ambazo ni zao wenyewe (own making).
Kuna vijana wamekuja na additional identification badges, wamejuaje kama si kuambiwa in advance?
It is a pity kuwa vijana wametoka mbali sana only to find kuwa eti hawana vigezo! vigezo ambavyo havikuwa kwenye tangazo.
Beba mpaka vyeti vya vifo km unavyo ili ukifika likitokea lolote vitakusevuHapo sasa ndio mtihani, mm hua nabeba vitambulisho vyangu vyote na vyeti vyote hadi vya kipaimara ili wasipate sababu.
Copy ni copy tu hata ikiwa na mhuri mbichi wa certification ni copy ndio maana inagongwa hata huo mhuri na wakili.Km Ina Muhuri halisi original wa Mwanasheria true copy of original hio sio mbaya Ila km copy km copy haina hata Muhuri original wa Mwanasheria hio mbaya
Hamna kitu kakurupuka tu...haki imetendeka, hawa wengine ni pinga pinga tuElezea hizo addittional tuone?
Ikiwezekana hadi cha ndoa unabeba, yn kama n vita iwe vita tuu.Beba mpaka vyeti vya vifo km unavyo ili ukifika likitokea lolote vitakusevu
Ndio nimesema pelekeni original achana na copy mpaka Cheti cha Ndoa beba original lolote linaweza kutokea utanishukuruCopy ni copy tu hata ikiwa na mhuri mbichi wa certification ni copy ndio maana inagongwa hata huo mhuri na wakili.
Hadi za Clinic za Watoto beba original usipige copy nenda nazo likitokea lolote zitakusevuIkiwezekana hadi cha ndoa unabeba, yn kama n vita iwe vita tuu.
Unakuja na vyote hivi na kujibu maswali vizuuuri Unaulizwa swali la mwisho una mahisiano ukisema huna mahusiano unaambiwa basi una minyege mno, kwa kazi hii ambayo watu wanakaa hata uchi wakitibiwa akili yako haiwezi kuwa sawa na hayo manyege yako.Barua ya Serikali ya Mtaa utambulisho hii iweke mbele kabisa
Barua ya kiapo iwe front kabisa
Barakoa hata km hawahitaji Wewe beba kujihami
Mkebe wa kuhifadhi rula na upuuzi mwingine
Periodic table usisahau
Calculator beba
Yaan hivyo unaweza ukaona vya kipuuzi Ila wakiamua huwaambii kitu wanakutupa nje ajira watu 900 mnaenda Million unafikiri wanafanyaje kuwapunguza
Hilo swali ni nje kabisa na kilichokupeleka Mimi nimeoa ndio kuendeleza ngono huko?Unakuja na vyote hivi na kujibu maswali vizuuuri Unaulizwa swali la mwisho una mahisiano ukisema huna mahusiano unaambiwa basi una minyege mno, kwa kazi hii ambayo watu wanakaa hata uchi wakitibiwa akili yako haiwezi kuwa sawa na hayo manyege yako.
Ukisema unaye unaambiwa kijana mdogo unaendekeza ngono utafanya kazi kweli?
No 2Post namba ngapi nikaone hilo jibu
Cc. mwifwaKila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;
4. Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga
kura,Kitambulisho cha kazi,Kitambulisho cha Uraia, Hati ya kusafiria au barua ya utambulisho kutoka
Serikali ya Mtaa/Kijiji unachotoka
Kijana ana kitambulisho cha kura, anaambiwa alete pia barua ya mweyekiti wa ktaa/kijiji...what next? anaondoka maana hawezi kupatahiyo barua in asuch a short time wakati ana utambulisho mwingine ulioainishwa hapo
Kama umeoa utapeleka stress za mkeo kwa wagonjwa.Hilo swali ni nje kabisa na kilichokupeleka Mimi nimeoa ndio kuendeleza ngono huko?