Uhuni wanaofanyiwa vijana waliokuja kwenye usaili wa kada ya afya kituo cha shule ya Sekondari Galanos, Tanga

Uhuni wanaofanyiwa vijana waliokuja kwenye usaili wa kada ya afya kituo cha shule ya Sekondari Galanos, Tanga

😂 Hii niliwahi kuishuhudia, jamaa anakomaa kabisa kuwa hiyo ni cheti OG wakati kwa akili za kawaida tuu unaona n copy yenye rangi 😂
Km Ina Muhuri halisi original wa Mwanasheria true copy of original hio sio mbaya Ila km copy km copy haina hata Muhuri original wa Mwanasheria hio mbaya
 
Km Ina Muhuri halisi original wa Mwanasheria true copy of original hio sio mbaya Ila km copy km copy haina hata Muhuri original wa Mwanasheria hio mbaya
Mkuu, hiyo nayo n ishu nyngn tena umeleta.
Kumbuka mhuri unapigwa kwenye copies ambazo unatumia kuomba kazi ila wakat wa usaili ni vyeti OG tuu ambavyo havina mhuri wa mwanasheria
 
Mkuu, hiyo nayo n ishu nyngn tena umeleta.
Kumbuka mhuri unapigwa kwenye copies ambazo unatumia kuomba kazi ila wakat wa usaili ni vyeti OG tuu ambavyo havina mhuri wa mwanasheria
Nimesema kwenye usaili nenda na vyeti original km original sio vilivyo sainiwa na mwanasheria, unanielewa sasa peleka kilichosainiwa na mwanasheria wakutimue
 
Naandika kwa masikitiko makubwa nikiona wanachofanyiwa vijana waliokuja kwenye usahili (written inteview) hapa Galanos Tanga.

1. Identification requirements zimekuwa mentioned katika tangazo la kuitwa kwenye usaili. Walio wengi wamekidhi kuja na vigezo/vitambulisho hivyo. Ajabu wasimamizi wameleta vigezo vingine ambavyo haviko kwenye list.

maana yake nini? Kuwapunguza watahiniwa na kuwapa wengine advantage wengine ya kuambiwa in advance vitu ambavyo haviko kwenye tangazo la serikali!

Vijana wanalia na kusaga meno kwa kukosa interview maana wasimamizi wamekomaa na addition identificationa badges ambazo ni zao wenyewe (own making).
Kuna vijana wamekuja na additional identification badges, wamejuaje kama si kuambiwa in advance?

It is a pity kuwa vijana wametoka mbali sana only to find kuwa eti hawana vigezo! vigezo ambavyo havikuwa kwenye tangazo.
Elezea hizo addittional tuone?
 
Barua ya Serikali ya Mtaa utambulisho hii iweke mbele kabisa

Barua ya kiapo iwe front kabisa
Barakoa hata km hawahitaji Wewe beba kujihami
Mkebe wa kuhifadhi rula na upuuzi mwingine
Periodic table usisahau
Calculator beba

Yaan hivyo unaweza ukaona vya kipuuzi Ila wakiamua huwaambii kitu wanakutupa nje ajira watu 900 mnaenda Million unafikiri wanafanyaje kuwapunguza
Unakuja na vyote hivi na kujibu maswali vizuuuri Unaulizwa swali la mwisho una mahisiano ukisema huna mahusiano unaambiwa basi una minyege mno, kwa kazi hii ambayo watu wanakaa hata uchi wakitibiwa akili yako haiwezi kuwa sawa na hayo manyege yako.

Ukisema unaye unaambiwa kijana mdogo unaendekeza ngono utafanya kazi kweli?
 
Hilo swali ni nje kabisa na kilichokupeleka Mimi nimeoa ndio kuendeleza ngono huko?
 
Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;
4. Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi, Kitambulisho cha Mpiga
kura,Kitambulisho cha kazi,Kitambulisho cha Uraia, Hati ya kusafiria au barua ya utambulisho kutoka
Serikali ya Mtaa/Kijiji unachotoka

Kijana ana kitambulisho cha kura, anaambiwa alete pia barua ya mweyekiti wa ktaa/kijiji...what next? anaondoka maana hawezi kupatahiyo barua in asuch a short time wakati ana utambulisho mwingine ulioainishwa hapo
Cc. mwifwa
 
Mambo ya usaili inabidi uwe makini sana, kitu kidogo kinakuondoa kwenye usaili mazima huku ukiwa huamini kilichotokea tena ukutane na msimamizi aliyenyooka Wala hakuonei huruma kuwa "next time hakikisha uwe nacho"...mfano unaweza Kuta kijana ana nida au ID iliyoruhusiwa vizuri tena, msimamizi akiangalia majina yametofautiana tena ni herufi mfano vya shule ni bahati John bakari na nida ni bahati John bakari hapo jua umeenda na labda mizimu yenu ikuokoe... Hili nilitegemea Kwa kuwa ni usaili wa mara ya kwanza hivyo najua tu lazima Kuna watu tena wengi tu wataliwa vichwa.

Usaili wenyewe unakuta Hadi mwakani tena, lazima kama msailiwa ukipata nafasi basi usiiachie kirahisi.
 
Back
Top Bottom