Uhuni wanaofanyiwa vijana waliokuja kwenye usaili wa kada ya afya kituo cha shule ya Sekondari Galanos, Tanga

Vigezo gani havikuwekwa Kwenye tangazo na ambavyo vimeongezwa? Mkuu hebu sema
 
Acha kulalamika mtoto mzuri... Ukiitwa kwenye interview yoyote beba kilakitu ikiwezekana beba hadi matunguli ya bibi zako in case wakiyahitaji kama kigezo uwe nacho... Watoto wa sikuhizi wasengerema sana wanaenda kwenye interview kama wanaenda mlimani city kushangaa shangaa... Useless idiots
 
Bado ajira zipo naamini , madaktari hawajawa wengi kiasi hicho
 
Niliona matangazo humu kuwa usaili ni online sasa wamefikaje tena huko vituoni?

Usaili wa online nafahamu ni mahali popote ulipo ni wewe na kifaa chako, eneo tulivu na internet yako.
Ni computer based au center based,
Yani interview inafanyika kwenye vituo vyenye access ya computers, internet, questions nadhan ni multiple choices 😂 ,
 
Ukiwa na barua ya kiapo unataleza tu husumbuliwi
 
Niliona matangazo humu kuwa usaili ni online sasa wamefikaje tena huko vituoni?

Usaili wa online nafahamu ni mahali popote ulipo ni wewe na kifaa chako, eneo tulivu na internet yako.
Watu kama ww ndio mkifukuzwa kwenye usaili mnakuja kutupigia kelele humu mitandaoni kwamba mmeonewa, em jitahidi uwe unasoma maelekezo aisee
 
Ndio maana nawaambia msijistress kulipa mamilioni kuwasomesha watoto wenu shule za English Medium. Rudisha wote shule za Kayumba haraka sana.
 
Umeamua kumtupia NYUKILIA kabisa
 
Vigezo gani havikuwekwa Kwenye tangazo na ambavyo vimeongezwa? Mkuu hebu sema
One was License to practice ambayo ni muundo kama kadi ya NIDA, then kuna lile kadi kubwa la njano size ya A4. Kijana kafika na Leseni ya ku practice. Anafika wanadai kadi la njano lile A4, kitu ambacho hakipo kwenye instructions. Some left because of that! After malalamiko the dispensed with kadi la njano la A4 size! But remeber wengine walishaondoka ambao hawakuwa na kadi la njano maana waliliacha nyumbanias it was not part of the requirement!
 
Ndio maana nawaambia msijistress kulipa mamilioni kuwasomesha watoto wenu shule za English Medium. Rudisha wote shule za Kayumba haraka sana.
Hapana! Kuna oportuitis zitahijati lugha ya kiingereza....... na pass nzuri za sekondari! Nina mifano mingi
 
Duh sasa si wangeweka kwenye list sasa mtu ataota.
 
Hii comment unaicopy na kupaste wewe kama nani una generalize makosa yao
 
Sababu ni moja tu ambayo ingemuengua hapo kwa upande wa kitambulisho, ambayo ni UTOFAUTI WA MAJINA(hata herufi moja) KATI YA KITAMBULISHO NA VYETI VYAKE.

Je, hakuwa na hii changamoto?
 
Niliona matangazo humu kuwa usaili ni online sasa wamefikaje tena huko vituoni?

Usaili wa online nafahamu ni mahali popote ulipo ni wewe na kifaa chako, eneo tulivu na internet yako.
Hujaelewa maelezo yao kuhusu usahili wa Online
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…