Uhuni wanaofanyiwa vijana waliokuja kwenye usaili wa kada ya afya kituo cha shule ya Sekondari Galanos, Tanga

Naandika kwa masikitiko makubwa nikiona wanachofanyiwa vijana waliokuja kwenye usahili (written inteview) hapa Galanos Tanga.

1. Identification requirements zimekuwa mentioned katika tangazo la kuitwa kwenye usaili. Walio wengi wamekidhi kuja na vigezo/vitambulisho hivyo. Ajabu wasimamizi wameleta vigezo vingine ambavyo haviko kwenye list.

maana yake nini? Kuwapunguza watahiniwa na kuwapa wengine advantage wengine ya kuambiwa in advance vitu ambavyo haviko kwenye tangazo la serikali!

Vijana wanalia na kusaga meno kwa kukosa interview maana wasimamizi wamekomaa na addition identificationa badges ambazo ni zao wenyewe (own making).
Kuna vijana wamekuja na additional identification badges, wamejuaje kama si kuambiwa in advance?

It is a pity kuwa vijana wametoka mbali sana only to find kuwa eti hawana vigezo! vigezo ambavyo havikuwa kwenye tangazo.
Walaaniwe wala rushwa wote.
Walaaniwe wapindisha sheria wote
 
Ungebainisha vizuri tuone kama kweli wameonewa au la.

Hao wasailiwa walienda na vitambulisho gani ambavyo havijakubaliwa?

Hao waendesha interview walitaka utambulisho gani?
 
Unashindwa hata kuelewa hoja? Wapange wanavyotaka ila wawafahamishe wasailiwa in advance. Kama ni fair game how comes wengine wamekuja na vitambulisho vya ziada ambavyo havikutajwa kwenye barua ya wito ? Hili kosa kwa nchi zilizoendelea kama Marekani candidate akilalamika kuhusu hili mchakato wote wa uajiri unaanza upya. Ila kwa Tanzania anything goes.
Nataka kufahamu hivyo vitambulisho vya ziada ili nivijue na kusanua wengine ambao watafanya interview siku zinazofuata
 
Ujinga mmoja waliopewa wenye connection tu km huna connection hio badge hupewi sasa huu si umandavaku?
Duh hiyo nayo kali, sijawahi kusikia. Imefikia hatua hii? Kuliko kuwasumbua watu bure si bora wangewapa taarifa mapema?
 
Malalamiko hayasaidii ndugu, wajipange tena msimu ujao. Baadhi ya wasaka ajira huwa wanachukulia mambo easy, tena hata kutafuta taarifa sahihi kwao ni mzigo. Wafuatao ndio wahusika anaoongelea mleta mada

1. Vijana walioenda na copy za vyeti zenye rangi na kuweka lamination, wakati wametangaziwa waende na vyeti halisi.
2. Walioenda na vyeti vyenye majina tofauti bila deed pool au affidavit (supporting documents)
3. Walioenda bila leseni au leseni zilizoisha muda. Wengine wameenda na risiti za malipo ya leseni.
4. Mtu anaenda na picha ya kitambulisho iliyopigwa ipo kwenye simu (softcopy ya NIDA). Vitambulisho vinavyokubalika vimeorodheswa ila mtu anaenda na kitambulisho cha chuo aliposomea.

Hayo makundi manne ni walalamikaji wasio na mashiko. Usaili unahitaji umakini, moja ya sehemu ya interview ni kufuata maelekezo.

Next time wajitahidi kufuata maelekezo sio ukaidi.
 
Malalamiko hayasaidii ndugu wajipange tena msimu ujao. Baadhi ya wasaka ajira huwa wanachukulia mambo easy, tena hata kutafuta taarifa sahihi kwao ni mzigo. Wafuatao ndio wahusika anaoongelea mleta mada

1. Vijana walioenda na copy za vyeti vyenye rangi na kuweka lamination, wakati wametangaziwa waende na vyeti halisi.
2. Walioenda na vyeti vyenye majina tofauti bila deed pool au affidavit (supporting documents)
3. Walioenda bila leseni au leseni zilizoisha muda. Wengine wameenda na risiti za malipo ya leseni.
4. Mtu anaenda na picha ya kitambulisho iliyopigwa ipo kwenye simu. Vitambulisho vinavyokubalika vimeorodheswa ila mtu anaenda na kitambulisho cha chuo aliposomea.

Hayo makundi manne ni walalamikaji wasio na mashiko. Usaili unahitaji umakini, moja ya sehemu ya interview ni kufuata maelekezo.

Next time wajitahidi kufuata maelekezo sio ukaidi.
Hapa bila kupepesa macho lazima wakutolee nje.

Kama hilo la mtu kutoa kopi yenye rangi halafu anaiweka Lamination [emoji2][emoji2]
 
Ongeaaa sanaa, ila ombaa yasikukute au kukufikia
Ukitulia kumbe huwa una akili! Nilijua ni kwenye mazagamuano ndiyo umejikita huko! Maana unaupenda sana huu mchezo!

Umasikini unatesa na kudhalilisha utu omba yasikukute! Angalia hata mishahara yenyewe ya hao wanaokwenda kuomba hizo ajira ni kwa sababu ya shida tu! Laki 5 mpaka milioni 1 na nusu ni hela ndogo sana kuisubiria mpaka mwisho wa mwezi.

Piga bajeti yako mwezi mzima kama upo dar siyo nje ya mji, namaanisha mahitaji yako muhimu uone kama hata kuamua kula milo mitatu vizuri itatosha plus ndugu jamaa na marafiki!

Mazingira ya kazi yenyewe ni kunyanyasana na kudhalilishana kisa ni umasikini.Kuna MD alionyesha salary slip kwa vijana wapambanaji (Kariakoo) wakamuambia unaishije??
 
Naandika kwa masikitiko makubwa nikiona wanachofanyiwa vijana waliokuja kwenye usahili (written inteview) hapa Galanos Tanga.

1. Identification requirements zimekuwa mentioned katika tangazo la kuitwa kwenye usaili. Walio wengi wamekidhi kuja na vigezo/vitambulisho hivyo. Ajabu wasimamizi wameleta vigezo vingine ambavyo haviko kwenye list.

maana yake nini? Kuwapunguza watahiniwa na kuwapa wengine advantage wengine ya kuambiwa in advance vitu ambavyo haviko kwenye tangazo la serikali!

Vijana wanalia na kusaga meno kwa kukosa interview maana wasimamizi wamekomaa na addition identificationa badges ambazo ni zao wenyewe (own making).
Kuna vijana wamekuja na additional identification badges, wamejuaje kama si kuambiwa in advance?

It is a pity kuwa vijana wametoka mbali sana only to find kuwa eti hawana vigezo! vigezo ambavyo havikuwa kwenye tangazo.
Malalamiko hayasaidii ndugu, wajipange tena msimu ujao. Baadhi ya wasaka ajira huwa wanachukulia mambo easy, tena hata kutafuta taarifa sahihi kwao ni mzigo. Wafuatao ndio wahusika anaoongelea mleta mada

1. Vijana walioenda na copy za vyeti zenye rangi na kuweka lamination, wakati wametangaziwa waende na vyeti halisi.
2. Walioenda na vyeti vyenye majina tofauti bila deed pool au affidavit (supporting documents)
3. Walioenda bila leseni au leseni zilizoisha muda. Wengine wameenda na risiti za malipo ya leseni.
4. Mtu anaenda na picha ya kitambulisho iliyopigwa ipo kwenye simu (softcopy ya NIDA). Vitambulisho vinavyokubalika vimeorodheswa ila mtu anaenda na kitambulisho cha chuo aliposomea.

Hayo makundi manne ni walalamikaji wasio na mashiko. Usaili unahitaji umakini, moja ya sehemu ya interview ni kufuata maelekezo.

Next time wajitahidi kufuata maelekezo sio ukaidi.
 
Ukitulia kumbe huwa una akili! Nilijua ni kwenye mazagamuano ndiyo umejikita huko! Maana unaupenda sana huu mchezo!

Umasikini unatesa na kudhalilisha utu omba yasikukute! Angalia hata mishahara yenyewe ya hao wanaokwenda kuomba hizo ajira ni kwa sababu ya shida tu! Laki 5 mpaka milioni 1 na nusu ni hela ndogo sana kuisubiria mpaka mwisho wa mwezi.

Piga bajeti yako mwezi mzima kama upo dar siyo nje ya mji, namaanisha mahitaji yako muhimu uone kama hata kuamua kula milo mitatu vizuri itatosha plus ndugu jamaa na marafiki!

Mazingira ya kazi yenyewe ni kunyanyasana na kudhalilishana kisa ni umasikini.Kuna MD alionyesha salary slip kwa vijana wapambanaji (Kariakoo) wakamuambia unaishije??
Inasikitisha na kuumiza kwa kweli.
 
Nimekupata bruh
Ongezea na hii :

Ukiwa huna lessen hufanyi…
Ukiwa huna enrollment hufanyi
Ukiwa hauna cheti original hufanyi
Ukiwa na copy ya Cheti chochote hufanyi
Ukiwa na copy yoyote hufanyi leta original
Lessen ikiwa haiko valid hufanyi
Ukileta copy ya leseni hufanyi
Ukiwa huna affidavit hufanyi
Ukileta copy ya affidavit hufanyi leta original
Huna barakoa km barakoa hufanyi rudi kwenu
Vyeti original umeacha hotelini hufanyi leta original

In short usibebe copy beba original zote copy copy zako acha nyumbani kwenu
 
Vijana hatufuatilii taarifa muhimu au mwingine anaamua tu kupuuzia kwa sababu anazozijua yeye.
IMG-20240902-WA0037.jpg
 
Ongezea na hii :

Ukiwa huna lessen hufanyi…
Ukiwa huna enrollment hufanyi
Ukiwa hauna cheti original hufanyi
Ukiwa na copy ya Cheti chochote hufanyi
Ukiwa na copy yoyote hufanyi leta original
Lessen ikiwa haiko valid hufanyi
Ukileta copy ya leseni hufanyi
Ukiwa huna affidavit hufanyi
Ukileta copy ya affidavit hufanyi leta original

In short usibebe copy beba original zote copy copy zako acha nyumbani kwenu
Yaani unamaanisha mtu mmoja abebe vyote hivi? Au kimoja kati ya hivi.

Aisee huu ni unyanyasaji, poor watoto wa watu.
 
3. Walioenda bila leseni au leseni zilizoisha muda. Wengine wameenda na risiti za malipo ya leseni.
Amini nakuambia kuna watu wamefanya hii interview wakiwa hawana leseni za MCT kabisa, wengine hawajawahi kukata wengine leseni imeisha Toka 2021 haja renew ila wameruhusiwa eti wakimaliza kufanya interview waendelee kufuatilia hizo leseni hii ni double standard.
 
Amini nakuambia kuna watu wamefanya hii interview wakiwa hawana leseni za MCT kabisa, wengine hawajawahi kukata wengine leseni imeisha Toka 2021 haja renew ila wameruhusiwa eti wakimaliza kufanya interview waendelee kufuatilia hizo leseni.
Muda mwingine inategemea na utu na huruma ya msimamizi. Wapo ambao huwa wanenda bila deedpol au affidavit kisha wanaambiwa hatua inayofuata, ama practical au oral interview wajitahidi kutafuta hizo documents.

All in all, kufuata maelekezo ni sehemu ya usaili. Vijana tusijisahau
 
Mods futa huu uzi...huyu kaandika tu na hajui utaratibu ukoje...
Hakuna mtu anafanya hivyo, kwanza kuna form huwa wanapewa waliokosa vielelezo, unaandika kosa lako baada ya kupewa maelekezo na unasaini..
PSRS hakuna ujanja ujanja...
 
Back
Top Bottom