njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Naam, ni uhuni juu ya uhuni, kudadeki, aisee weeh! Tukadanganywa kwamba kaenda Wakiso Giants ya Uganda na kwamba kwa sasa yeye na Yacouba hata kwenye picha za mazoezi wanafichwa fichwa!
"Za ndani kabisa, jamaa kumbe yupo. Hajaenda kwa mkopo wala nini, ilikuwa ni gia tu ya kutuzuga sisi. Kwasababu wao walisema hawawezi kuelewa majeruhi, huyu ndiyo kashaenda tayari, ili aingie huyu lazima mtu atolewe aende sehemu nyingine ndiyo aingie huyu mchezaji.
Kumbe ikabidi ifanyike propaganda, mwamba yupo Kigamboni lakini kamera man kiboko, hakuna cha kwa mkopo wala nini.
Inasemekana huenda dirisha dogo akarejea. Za ndani ni kuwa mmoja washamtoa chambo, dirisha dogo mmoja atatoka halafu huyu atarejea."