Ali Nassor Px
JF-Expert Member
- May 6, 2022
- 2,384
- 3,926
12Wewe ulicheza ngap
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
12Wewe ulicheza ngap
Kuna performance ambayo haina takwimu?Kwa hiyo Azizi Ki alikuwa special registered kwa ajili ya ligi kuu?
Kingine ni kwamba mi najadili performance we unajadili magoli
Magoli yanaweza kupatikana kwa njia nyingi, mfano lile goli lakwanza alilofunga Azizi Ki unaweza kulielezeaje katika viwango vya ubora hadi likapatikana?
Kusema Azizi Ki sio yule ambaye viongozi na mashabiki wenu mlitegemea kumuona uwanjani hakunifanyi nishindwe kukubaliana na ukweli kwamba hata Simba kuna wachezaji wenye low level perfomance
Labda kama hufatilii updates za mechi za Simba maana mara nyingi huwa tunasema pale tunapoona sio sawa.
Tatizo lako wewe unafikiria kuwa mtu mwingine ambaye sio mdau na timu yako akiikosoa timu yako inakuwa ni chuki.
Hata Mwinyi Zahera kaongea mambo mengi ambayo mara nyingi humu tumekuwa tukiyasema na mkatuita haters