Tetesi: UHUNI: Yadaiwa Kambole yuko Kigamboni anarejea Januari, dili lilichezwa na TFF

umeorodhesha wachezaji wasiokuwepo kikosi cha kwanza,wengine washatolewa kenye club.
Simba ndo unawaona Wana scouting mzuri ya
Dejan
Okwa
Outara
Chikwende
Dankan nyoni
Hivi nyie mbumbumbu nani kawaloga tumbafu
ushahidi si upo,kwanini tubishane bila fact?,kati ya Simba na Yanga nani katolewa champions?,renk ya caf nani yupo juu?
 
Wote hadi Aziz Ki

Yani walichokitegemea na anachokuja kuwapa uwanjani ni vitu viwili tofauti
Wewe jamaa akili hua unazo ila ushabiki hua unakutoa kwenye reli mpka sasa ligi ina michezo mitano unawezaje kusema mchezaji ka fail Azizi K ana goals mbili unamuweka kwenye group la walio fail kweli? Je Okwa, Kapama na Akpan utasemaje?
 
Sijajua kwanini Ki analaumiwa kiasi hiki!? Au mashabiki hawampendi?!
 
Mwamba huyu hapa
tapatalk_-190523745_430x500.jpg
 
Wewe jamaa akili hua unazo ila ushabiki hua unakutoa kwenye reli mpka sasa ligi ina michezo mitano unawezaje kusema mchezaji ka fail Azizi K ana goals mbili unamuweka kwenye group la walio fail kweli? Je Okwa, Kapama na Akpan utasemaje?
Kwa hiyo Azizi Ki alikuwa special registered kwa ajili ya ligi kuu?

Kingine ni kwamba mi najadili performance we unajadili magoli

Magoli yanaweza kupatikana kwa njia nyingi, mfano lile goli lakwanza alilofunga Azizi Ki unaweza kulielezeaje katika viwango vya ubora hadi likapatikana?

Kusema Azizi Ki sio yule ambaye viongozi na mashabiki wenu mlitegemea kumuona uwanjani hakunifanyi nishindwe kukubaliana na ukweli kwamba hata Simba kuna wachezaji wenye low level perfomance

Labda kama hufatilii updates za mechi za Simba maana mara nyingi huwa tunasema pale tunapoona sio sawa.

Tatizo lako wewe unafikiria kuwa mtu mwingine ambaye sio mdau na timu yako akiikosoa timu yako inakuwa ni chuki.

Hata Mwinyi Zahera kaongea mambo mengi ambayo mara nyingi humu tumekuwa tukiyasema na mkatuita haters
 
Sijajua kwanini Ki analaumiwa kiasi hiki!? Au mashabiki hawampendi?!
Ujio wake na mbwembwe za utambulisho zilikuja kwa msisimko na kupelekea mashabiki wategemee kitu kikubwa sana kutoka kwake

Na ndio maana mechi yake ya kwanza watu wote walikuwa wanamuangalia yeye anafanyaje ana kitu gani cha kipekee alichowazidi hawa wengine?

Ni kama Dejan tu kwa jinsi watu wa Simba walivyokuwa wamempa ukubwa
 
Dejan alikuja kuchovu tu,tofauti na ufunguo,advertise yake ilikuwa s ya kitoto...Dejan rangi Yake ilileta uzuzuo Kwa masha bik
 
Umekosea kukosoa maumbile ya mtu ambae hajakukosea chochote. Labda kama umeshamaliza kuzaa mwenzetu
Humu watu wote wako perfect,na hawawezi kuzaa watoto wenye maumbile yasiyo ya kawaida,na kweli wanaweza kusema chochote na wasipatwe na kibaya,cha msingi wewe kama unahofu mshukuru tu Mungu kwa hilo pia
 
Viongozi wa hilo timu wana mavi matakoni mwao:KARIA
 
Kwa hiyo Azizi Ki alikuwa special registered kwa ajili ya ligi kuu?

Kingine ni kwamba mi najadili performance we unajadili magoli

Magoli yanaweza kupatikana kwa njia nyingi, mfano lile goli lakwanza alilofunga Azizi Ki unaweza kulielezeaje katika viwango vya ubora hadi likapatikana?

Kusema Azizi Ki sio yule ambaye viongozi na mashabiki wenu mlitegemea kumuona uwanjani hakunifanyi nishindwe kukubaliana na ukweli kwamba hata Simba kuna wachezaji wenye low level perfomance

Labda kama hufatilii updates za mechi za Simba maana mara nyingi huwa tunasema pale tunapoona sio sawa.

Tatizo lako wewe unafikiria kuwa mtu mwingine ambaye sio mdau na timu yako akiikosoa timu yako inakuwa ni chuki.

Hata Mwinyi Zahera kaongea mambo mengi ambayo mara nyingi humu tumekuwa tukiyasema na mkatuita haters
PUMBA
 
Back
Top Bottom