Naam, ni uhuni juu ya uhuni, kudadeki, aisee weeh! Tukadanganywa kwamba kaenda Wakiso Giants ya Uganda na kwamba kwa sasa yeye na Yacouba hata kwenye picha za mazoezi wanafichwa fichwa!
Your browser is not able to display this video.
"Za ndani kabisa, jamaa kumbe yupo. Hajaenda kwa mkopo wala nini, ilikuwa ni gia tu ya kutuzuga sisi. Kwasababu wao walisema hawawezi kuelewa majeruhi, huyu ndiyo kashaenda tayari, ili aingie huyu lazima mtu atolewe aende sehemu nyingine ndiyo aingie huyu mchezaji.
Kumbe ikabidi ifanyike propaganda, mwamba yupo Kigamboni lakini kamera man kiboko, hakuna cha kwa mkopo wala nini.
Inasemekana huenda dirisha dogo akarejea. Za ndani ni kuwa mmoja washamtoa chambo, dirisha dogo mmoja atatoka halafu huyu atarejea."
Romalisa nae sio kiviile wala hana maajabu.kwa kifupi scouting ya Uto kimataifa huwa ni mbovu ndo maana huwa wanapiga chabo mchezaji wa kimataifa akitakiwa na Simba na wao utasikia wanamtaka.
Nikisikia mtu anasema walisajiliwa kisa kampeini namshangaa! Kwan injinia alikuwa anagombania na nani mpaka ajiingize mkenge kiivyo? Pili kwa yale Jamaa alowafanyia yanga aliitaji kufanya usajili ndo akubalike kweli? Ni sawa na kusema kwamba leo MO achukue fomu ya Urais pale Simba kwa sasa sidhani Kama hata anaitaji kufanya kampeini ili kushinda.
Labda ije hoja kwamba waliofanya usajili walitafuta watu cheap ambao walishamaliza mikataba huko kwao au walisajili watu wasienendana na mpira wa Yanga.
Romalisa nae sio kiviile wala hana maajabu.kwa kifupi scouting ya Uto kimataifa huwa ni mbovu ndo maana huwa wanapiga chabo mchezaji wa kimataifa akitakiwa na Simba na wao utasikia wanamtaka.