Hata kama kulikuwa na ulinzi lakini haukuwa visible.This is significant.Halafu kumbuka aliendesha gari peke yake,this is also very significant.Be serious and realistic mkuu,wakuu wangapi wa nchi wanafanya hivi?Acheni wivu wa kitoto.Let us praise him.Mleta mada ukijua tofauti kati wa walinzi na ulinzi utaona ulichoandika ni maigizo.
Mfahamishe , tena kenya ? Hiyo ni drama. ,Unajidanganya. Taasisi ya Urais ina nguvu na mtandao mpana kuliko unavyoelewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, wala usitishike na habari kama hizo, ulinzi alikuwa nao tena heavy kabisa, na mtu angetaka kujua hili basi angejaribu kusogeza kigari chake kiguse hilo gari la rais angeshangaa anapigwa bila kuwaona wapigaji.Kitendo cha hatari sana hiki kwa usalama wake, sio kizuri hasa kwa Mh. Rais..!! No, i don't support this kabisa
Umejuaje peke yake ? Kwa kuangalia picha ? 😁😁😁Hata kama kulikuwa na ulinzi lakini haukuwa visible.This is significant.Halafu kumbuka aliendesha gari peke yake,this is also very significant.Be serious and realistic mkuu,wakuu wangapi wa nchi wanafanya hivi?Acheni wivu wa kitoto.Let us praise him.
Wapo.Prime Minister wa Sweden ambaye ndiye mkuu wa nchi kwa Sweden alizoea sana hii tena kwa tram sio self drive.Kwa bahati mbaya aliuwawa aliposhuka kwenye tram siku moja.Mkuu, wala usitishike na habari kama hizo, ulinzi alikuwa nao tena heavy kabisa, na mtu angetaka kujua hili basi angejaribu kusogeza kigari chake kiguse hilo gari la rais angeshangaa anapigwa bila kuwaona wapigaji.
Hata hao wanaompa mkono hapo kanisani ni miongoni mwao, wanakuwa wameandaliwa na wanajua wakae wapi ili awape mkono, na yeye anajua wapi apite ili awakute walioandaliwa.
Hakuna rais anaweza kutembea peke yake akaruhusiwa, hata akilazimisha watamkubalia lakini watakuwepo.
Si useme unamnanga Jiwe lako !Hapa Tanzania utakuta mtu ni mbowe tu lakini amezungukwa na walinzi kibao!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wew unaamini kuwa alikuwa peke yake?Taarifa zimesema alikuwa peke yake na aliendesha gari peke yake mkuu,hayo mengine ni yako.
We kenge wa lumumba hivi Mbowe ni Rais wa TanzaniaHapa Tanzania utakuta mtu ni mbowe tu lakini amezungukwa na walinzi kibao!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapo.Prime Minister wa Sweden ambaye ndiye mkuu wa nchi kwa Sweden alizoea sana hii tena kwa tram sio self drive.Kwa bahati mbaya aliuwawa aliposhuka kwenye tram siku moja.
Cha kufanya hapo ww rusha jiwe utawaona walinzi wotesidhani kama alikuwa mwenyewe bila walinzi.! hakuna serikali inaweza kumuacha kiongozi wake kwenye hali kama hizo zaidi ni kwamba walinzi walifiki eneo la tukio kitambo sana
Hivi MK 254 yupo?
Afadhali Mbowe, sasa huyo Mkuu wa Mkoa walinzi wa nini ilhali anatakiwa kwenda likzo kijijini kwao akiwa peke yake !!!Hapa Tanzania utakuta mtu ni mbowe tu lakini amezungukwa na walinzi kibao!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo mnapigwa changa la macho, kwa kuwa gari iko tinted, walikwemo kwenye viti vya nyuma. Aidha, hao wote anaosalimiana nao ni watu wa "mfumo". Hiyo issue yotr imepangwa, walinzi walifika hapo kanisanisani tangu jana yake jioni.Rais Uhuru Kenyatta aliwashangaza waumini wa kanisa la Holy Basicilla baada ya kufika kanisani humo akiwa pekee yake bila walinzi.
Uhuru aliendesha gari aina ya Mercedez G-Wagon mwenyewe bila ya kuandamana na mlinzi hata mmoja. Waumini walifurahi walipoona Rais ambaye aliwasalimu baadhi yao mkononi.
Rais Uhuru Kenyatta aliwashangaza baadhi ya waumini wa kanisa la Holy Basilica jijini Nairobi baada ya kufika kanisani humo akiwa pekee yake bila walinzi.
Uhuru ambaye alionekana kuwa mchangamfu, alifika kanisani humo akiendesha gari aina ya Mercedes G- Wagon.
Waumini wa kanisa hilo walijawa na furaha kulingana na picha kadhaa tulizoweza kuziona hapa TUKO.co.ke.
Hii sasa ni mara ya pili kwa kiongozi huyu wa taifa kuonekana akiwa pekee yake bila walinzi, itakumbukwa kuwa ni hivi majuzi tu ambapo Uhuru alionekana akiendesha gari mwenyewe jijini Nairobi huku msongamano wa magari ukishuhudiwa.
Uhuru amewathibitishia Wakenya kuwa ni mmoja wa marais ulimwenguni mzima ambaye anaweza kukutana na raia wake wakati wowote bila walinzi.
View attachment 1054160
Taarifa zimesema alikuwa peke yake na aliendesha gari peke yake mkuu,hayo mengine ni yako.