Uhuru afika kanisani bila walinzi akiendesha gari aina ya Mercedes G-Wagon.

Uhuru afika kanisani bila walinzi akiendesha gari aina ya Mercedes G-Wagon.

Mleta mada ukijua tofauti kati wa walinzi na ulinzi utaona ulichoandika ni maigizo.
Hata kama kulikuwa na ulinzi lakini haukuwa visible.This is significant.Halafu kumbuka aliendesha gari peke yake,this is also very significant.Be serious and realistic mkuu,wakuu wangapi wa nchi wanafanya hivi?Acheni wivu wa kitoto.Let us praise him.
 
Kitendo cha hatari sana hiki kwa usalama wake, sio kizuri hasa kwa Mh. Rais..!! No, i don't support this kabisa
Mkuu, wala usitishike na habari kama hizo, ulinzi alikuwa nao tena heavy kabisa, na mtu angetaka kujua hili basi angejaribu kusogeza kigari chake kiguse hilo gari la rais angeshangaa anapigwa bila kuwaona wapigaji.

Hata hao wanaompa mkono hapo kanisani ni miongoni mwao, wanakuwa wameandaliwa na wanajua wakae wapi ili awape mkono, na yeye anajua wapi apite ili awakute walioandaliwa.

Hakuna rais anaweza kutembea peke yake akaruhusiwa, hata akilazimisha watamkubalia lakini watakuwepo.
 
Hata kama kulikuwa na ulinzi lakini haukuwa visible.This is significant.Halafu kumbuka aliendesha gari peke yake,this is also very significant.Be serious and realistic mkuu,wakuu wangapi wa nchi wanafanya hivi?Acheni wivu wa kitoto.Let us praise him.
Umejuaje peke yake ? Kwa kuangalia picha ? 😁😁😁
 
Mkuu, wala usitishike na habari kama hizo, ulinzi alikuwa nao tena heavy kabisa, na mtu angetaka kujua hili basi angejaribu kusogeza kigari chake kiguse hilo gari la rais angeshangaa anapigwa bila kuwaona wapigaji.

Hata hao wanaompa mkono hapo kanisani ni miongoni mwao, wanakuwa wameandaliwa na wanajua wakae wapi ili awape mkono, na yeye anajua wapi apite ili awakute walioandaliwa.

Hakuna rais anaweza kutembea peke yake akaruhusiwa, hata akilazimisha watamkubalia lakini watakuwepo.
Wapo.Prime Minister wa Sweden ambaye ndiye mkuu wa nchi kwa Sweden alizoea sana hii tena kwa tram sio self drive.Kwa bahati mbaya aliuwawa aliposhuka kwenye tram siku moja.
 
Kuuawa sio kigezo kuwa hakuna ulinzi, maana kuuawa kwa viongozi kama hao huwa ni inside job.

Maana yangu ni kwamba, hakuna mkuu wa nchi atatoka bila ulinzi. (Simaanishi walinzi japo walinzi ni sehemu ya ulinzi)
Wapo.Prime Minister wa Sweden ambaye ndiye mkuu wa nchi kwa Sweden alizoea sana hii tena kwa tram sio self drive.Kwa bahati mbaya aliuwawa aliposhuka kwenye tram siku moja.
 
Rais Uhuru Kenyatta aliwashangaza waumini wa kanisa la Holy Basicilla baada ya kufika kanisani humo akiwa pekee yake bila walinzi.
Uhuru aliendesha gari aina ya Mercedez G-Wagon mwenyewe bila ya kuandamana na mlinzi hata mmoja. Waumini walifurahi walipoona Rais ambaye aliwasalimu baadhi yao mkononi.

Rais Uhuru Kenyatta aliwashangaza baadhi ya waumini wa kanisa la Holy Basilica jijini Nairobi baada ya kufika kanisani humo akiwa pekee yake bila walinzi.

Uhuru ambaye alionekana kuwa mchangamfu, alifika kanisani humo akiendesha gari aina ya Mercedes G- Wagon.

Waumini wa kanisa hilo walijawa na furaha kulingana na picha kadhaa tulizoweza kuziona hapa TUKO.co.ke.

Hii sasa ni mara ya pili kwa kiongozi huyu wa taifa kuonekana akiwa pekee yake bila walinzi, itakumbukwa kuwa ni hivi majuzi tu ambapo Uhuru alionekana akiendesha gari mwenyewe jijini Nairobi huku msongamano wa magari ukishuhudiwa.

Uhuru amewathibitishia Wakenya kuwa ni mmoja wa marais ulimwenguni mzima ambaye anaweza kukutana na raia wake wakati wowote bila walinzi.

View attachment 1054160
Hapo mnapigwa changa la macho, kwa kuwa gari iko tinted, walikwemo kwenye viti vya nyuma. Aidha, hao wote anaosalimiana nao ni watu wa "mfumo". Hiyo issue yotr imepangwa, walinzi walifika hapo kanisanisani tangu jana yake jioni.
 
Cha ukakika hapo ni kuwa aliendesha gari peke yake, hayo mengine ya kuwa peke yake bila ulinzi hayawezekani wala hayapo.
Kwamba walinzi wa zamu sku hiyo walibaki ikulu wanaangalia TV wakati rais yuko kanisani[emoji3][emoji3][emoji3]

Don't be swayed that easily mkuu
Taarifa zimesema alikuwa peke yake na aliendesha gari peke yake mkuu,hayo mengine ni yako.
 
Jasusi wa kiuchumi huyo Uhuru....Kama wadau walivyoeleza anataka kuongeza idadi ya watalii,hapo ana potray kama kenya amani imetawala hakuna ugaidi,rais anatembea bila walinzi(waliovalia kiulinzi ila wapo wa kutosha amezungukwa nao kama waamini).
 
Back
Top Bottom