Uhuru afika kanisani bila walinzi akiendesha gari aina ya Mercedes G-Wagon.

Uhuru afika kanisani bila walinzi akiendesha gari aina ya Mercedes G-Wagon.

nadhani anakuwaga na walinzi wa siri na zaidi kanisa nzima ni sehemu ya familia ya system

asisahau kwenda na Kibera,Nakuru na hata Mombasa

*ni Bob Marley pekee anayeweza kufanya hayo
 
Rais Uhuru Kenyatta aliwashangaza waumini wa kanisa la Holy Basicilla baada ya kufika kanisani humo akiwa pekee yake bila walinzi.
Uhuru aliendesha gari aina ya Mercedez G-Wagon mwenyewe bila ya kuandamana na mlinzi hata mmoja. Waumini walifurahi walipoona Rais ambaye aliwasalimu baadhi yao mkononi.

Rais Uhuru Kenyatta aliwashangaza baadhi ya waumini wa kanisa la Holy Basilica jijini Nairobi baada ya kufika kanisani humo akiwa pekee yake bila walinzi.

Uhuru ambaye alionekana kuwa mchangamfu, alifika kanisani humo akiendesha gari aina ya Mercedes G- Wagon.

Waumini wa kanisa hilo walijawa na furaha kulingana na picha kadhaa tulizoweza kuziona hapa TUKO.co.ke.

Hii sasa ni mara ya pili kwa kiongozi huyu wa taifa kuonekana akiwa pekee yake bila walinzi, itakumbukwa kuwa ni hivi majuzi tu ambapo Uhuru alionekana akiendesha gari mwenyewe jijini Nairobi huku msongamano wa magari ukishuhudiwa.

Uhuru amewathibitishia Wakenya kuwa ni mmoja wa marais ulimwenguni mzima ambaye anaweza kukutana na raia wake wakati wowote bila walinzi.Fuata link ifuatayo uone na picha.

Uhuru afika kanisani bila walinzi akiendesha gari aina ya Mercedes G-Wagon

Read ENGLISH VERSION
Kwahiyo yeye aogope al shabab?
 
Sio jambo la kupongeza

Hata mawaziri tu sisapoti wao kutopewa ulinzi
 
nadhani anakuwaga na walinzi wa siri na zaidi kanisa nzima ni sehemu ya familia ya system

asisahau kwenda na Kibera,Nakuru na hata Mombasa

*ni Bob Marley pekee anayeweza kufanya hayo
Kuna yule Raisi mstaafu wa uruguway somebody Jose Mujica yeye hata hakuwa anakaa ikulu na hospitali anaenda za umma za kawida naakikuta foleni na yeye anapanga....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom