Uhuru afika kanisani bila walinzi akiendesha gari aina ya Mercedes G-Wagon.

Uhuru afika kanisani bila walinzi akiendesha gari aina ya Mercedes G-Wagon.

Wasitutishe. Haya mambo hata John Beer huwa anayafanya sana sema huwa hataki sifa za kutangaza tangaza.
Mhhh thubutu yake kama wasingemnywa bila malipo.kupanda ndege tu tabu, akienda arusha hadi mizinga inawekwa tayari kama kuna vita.
 
Turkana wanakufa njaa mnajisifu rais kutembea bila walinzi
 
sidhani kama alikuwa mwenyewe bila walinzi.! hakuna serikali inaweza kumuacha kiongozi wake kwenye hali kama hizo zaidi ni kwamba walinzi walifiki eneo la tukio kitambo sana
Nilipokuwa Kigali, Rais Kagame alikuwa anakuja shuleni kuchukua watoto wake akiendesha mwenyewe bila mlinzi.
 
This man is always under influence....
If not bhaangggii then strong liquors.
 
Rais Kenyatta anajitahidi sana kujishusha! angekuwa mzungu angeingizwa kwenye Guinness world record siyo mshamba wa madaraka kama huyu wa kwetu.
Ulinganishi wengine ni wa kipumbavu jamani...

Hata kama hatumpendi ngosha..hili si sahihi.
 
Sio kweli hana walinzi magari yote yaliyo nyuma yake na mbele yake lazima yatakuwa ya walinzi wake na pengine hiyo G Wagon ina bullet proofs

Ila Uhuru aache usela sana hii mara ya pili anaendesha gari hilo hilo mtaani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungetaka kujua hapakua na ulinzi ingetokea fujo,nchi km kenya raisi hawezi fanya hivyo..hayo matukio huwa hanapangwa mapema kabisa.

Raisi siyo kama mjomba wako anayeamka hajui leo atafanya nini,saa ngapi,wapi na nani....raisi anaongozwa na protocal kali sana...kuna propaganda humu kuna kila aina ya ujanjaujanja na akili nyingi.

Ila kwa kifupi tu amini raisi hawezi enda sehemu bila ulinzi,hiyo ni hata yeye asipotaka.

Kweli kabisa. Tena kwenye changamoto za usalama Tanzania tunasubiri sana Kwa Kenya.
Mbali na chuki za ukabila uliotamahalaki unaoongeza risk kwenye usalama hasa kwa viongozi wa juu wa nchi ...pia kuna Alshaabab ambapo hakuna Kiongoz yeyote wa juu anaweza kwenda sehemu bila kufanyika ujiridhishaji mzito kabla kiusalama kwenye eneo la tukio
 
Back
Top Bottom