Uhuru agrees to reconciliation call from Anglican Church leader! What can we learn from here?

Uhuru agrees to reconciliation call from Anglican Church leader! What can we learn from here?

..Wapinzani wa Kenya wana wafuasi wa kutosha wa kuifanya nchi isitawalike.

..Huku Tanzania wapinzani wako wachache na hawana nguvu. Hali hiyo inawafanya watawala watambe vile wanavyotaka.

..Hicho ndicho nilichojifunza.
Sasa kwa kipi CCM ifanye mawasiliano na UKIWA?waongee na Mbowe(?) au Lowassa ?huyu ana nini cha kufanya CCM waongee nae,Maalim nae keshapoteza mwelekeo.Tofauti na Kenya ,hapa kwetu hatuna upinzani bali tuna vichekesho tu vya upinzani
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Nilichojifunza ni kwamba KENYATTA ushindi wake ni WA-MAGUMASHIMAGUMASHI hivyo reconciliation ni lazima kwake...TANZANIA MSHINDI kapatikana kwa HAKI .Hivyo kama nchi tuwe makini na MAMBO ya KENYA.
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Labda

Labda Raila kafanikiwa issue ya Nusu mkate
Hahahahahahaaaaaaah
Ushauri waliopewa ni reconcilliation siyo mediation au abitration. Ina maana hakuna hoja ya kugwana madaraka bali kutengeneza mifumo itakayohakikisha amani inakuwepo wakati wote hata kama kuna deep disagreement.
 
Sasa kwa kipi CCM ifanye mawasiliano na UKIWA?waongee na Mbowe(?) au Lowassa ?huyu ana nini cha kufanya CCM waongee nae,Maalim nae keshapoteza mwelekeo.Tofauti na Kenya ,hapa kwetu hatuna upinzani bali tuna vichekesho tu vya upinzani
Machoko ya ccm mnaviherehere sanaa
 
Cha kujifunza kutoka Kenya ni katiba mpya inayoonesha mipaka ya madaraka kwa kila mhimili. Zaidi yahapo kidumu kitaendelea tu kwa hisani ya piere na yoweri
 
Hata Zanzibar ipo hivyo?

..Znz kungekuwa hakuna mkono wa Tanganyika bila shaka wangekuwa wanafanya maridhiano.

..Kwa uchaguzi wa Znz, chama chenye "god father" mwenye majeshi ndicho hutangazwa mshindi.

..Kabla ya mapinduzi ZNP walikuwa hawataki maridhiano kwasababu Sultani aliyekuwa na "dola" alikuwa akiwabeba.

..Sasa hivi CCM- Znz iko upande wa mwenye "dola", hivyo na wao hawataki maridhiano na wenzao.

Cc Daudi Mchambuzi
 
Back
Top Bottom