Ya Zanzibar ni hii.Hata Zanzibar ipo hivyo?
Wako wengi ila uoga mkuu. Wale wa “point of no return” ni wachache.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya Zanzibar ni hii.Hata Zanzibar ipo hivyo?
Wako wengi ila uoga mkuu. Wale wa “point of no return” ni wachache.
Labda
Labda Raila kafanikiwa issue ya Nusu mkate
Hahahahahahaaaaaaah
Sasa kwa kipi CCM ifanye mawasiliano na UKIWA?waongee na Mbowe(?) au Lowassa ?huyu ana nini cha kufanya CCM waongee nae,Maalim nae keshapoteza mwelekeo.Tofauti na Kenya ,hapa kwetu hatuna upinzani bali tuna vichekesho tu vya upinzani..Wapinzani wa Kenya wana wafuasi wa kutosha wa kuifanya nchi isitawalike.
..Huku Tanzania wapinzani wako wachache na hawana nguvu. Hali hiyo inawafanya watawala watambe vile wanavyotaka.
..Hicho ndicho nilichojifunza.
Ushauri waliopewa ni reconcilliation siyo mediation au abitration. Ina maana hakuna hoja ya kugwana madaraka bali kutengeneza mifumo itakayohakikisha amani inakuwepo wakati wote hata kama kuna deep disagreement.Labda
Labda Raila kafanikiwa issue ya Nusu mkate
Hahahahahahaaaaaaah
Machoko ya ccm mnaviherehere sanaaSasa kwa kipi CCM ifanye mawasiliano na UKIWA?waongee na Mbowe(?) au Lowassa ?huyu ana nini cha kufanya CCM waongee nae,Maalim nae keshapoteza mwelekeo.Tofauti na Kenya ,hapa kwetu hatuna upinzani bali tuna vichekesho tu vya upinzani
Hata Zanzibar ipo hivyo?
Ujue Zanzibar, Pemba ndio kuna upinzani sana kuliko unguja ambapo 78%ni CCMHata Zanzibar ipo hivyo?