Uhuru aondoka kwenda Uchina kuiwakilisha Kenya, EAC na Afrika

Huo ni mtizamo wa Kenya. Ila mchina akiongelea Africa ana jua rafiki wa kweli na Tz. Ata hiyo SGR ni Magu ndiyo aliikataa ila mchina alikua tayari kuijenga central corridor yote kwa pamoja siyo kwa kuunga unga kama anavyo fanya Kenya na kwa better deal zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swali lako liko kimatisho matisho hivi!

Anyway niishie kwa kukwambia kuwa:-
Mti huitwa kwa matunda yake!
Endelea kukusanya ushahidi ambao najua unao.
Wala hakuna vitisho vyovyote ndugu, Tanzania ni yetu sote. Hapa JF hakuna vitisho ila kuna mijadala ya kila aina.
 
Wakenya hawatakiwi kabisa china visa zao zinapatikana kwa tabu alafu guangzhou hawataki kabisa wakenya na ndio mji mkubwa kwa biashara
 
Sasa hayo ni ya kwako sasa. But unatakiwa uelewe Uhuru kaenda kwa ajili ya wakikuyu. Na unatakiwa kufanya research kwanza kabla ya kuweka news humu, eti kaenda kuwakilisha EA. Nyie wakenya washamba sana.
hahahaha... nilidhani ziara zake za nje ni kwa ya jamhuri ya kenya. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mind your business

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afadhali kukopa na umiliki mwenyewe baada ya miaka 30, kuliko nyi mlio peana Bagamoyo bure waimiliki milele... kuanzia 2030 bagamoyo port zone will be chinese territory
You dont understand BOT. Land is leased to Chinese investor not owned. All commercial risks related to Development and Operations are with the investor not Tz. Tz will continue to get money inform of Custom Duties at the port. Once the chinese investor recoups its investment and makes its profit from cargo handling as per the BOT agreement..The port is handled over to TZ free of charge
Kenya SGR is Loaned at 8% dollar loans, Its operated at 1bn per month paid to china from Kenya taxpayers for the next 10 years. If kenya fails to pay loans, the mombasa port bites the dust
 
BoT you say.

Before they transfer this project that allegedly will cost 10 billion dollars, how long shall it take? 50years? 75years? No.. 100 years maybe?

Bongolala anasherehekea kitu ambacho mwenyewe haelewi [emoji23][emoji23]
 
Ondoa neno EAC, unatulazimiamsha kumeza vitu ambavyo sio vyetu. Nyinyi nendenia mkajibu maswali ya kwanini mlimpiga picha mchina ana chimba dawa.
Na Africa pia, Kagame kaenda kama mwenyekiti tayari.
 
BoT you say.

Before they transfer this project that allegedly will cost 10 billion dollars, how long shall it take? 50years? 75years? No.. 100 years maybe?

Bongolala anasherehekea kitu ambacho mwenyewe haelewi [emoji23][emoji23]
In BoT,Its always in the intrest of the investor to Quickly Recoup his invested Money and make a profit out of it. IF the chinese investor wants to run bagamoyo at a loss then its up to him to absorb the loses,meanwhile TZ will still charge Customs Duties and Taxes from the investement.
If Kenya SGR runs at a loss, CHINA doesnt care! They will still earn their money from the loan
 
Afadhali kukopa na umiliki mwenyewe baada ya miaka 30, kuliko nyi mlio peana Bagamoyo bure waimiliki milele... kuanzia 2030 bagamoyo port zone will be chinese territory
While the whole of Kenya is a Chinese territory, Bagamoyo port will be one out of 4 ports under Chinese!
 
While the while of Kenya is a Chinese territory, Bagamoyo port will be one out of 4 ports under Chinese!
Si saa zingine unajipata umemuita bibi yako KENYA mkishiriki ngono....atashikwa na wivu jombaa.
 

You are very right my broda. In PPP normally the risk is shifted to the promoter or private party. Which is quite different from the conventional loan (refer WHAT happened to lenders of KQ). In conventional loan whether you are making a profit or loss, the interest will keep on accruing. But under design finance build operate and transfer, if the project is making loss no interest will be accruing, but only the revenue sharing will be affected accordingly.
PPP is more favourable that consensional loan.
 
Pamoja na hayo, China wamezidi, most of them they don't know anything outside their boarders.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nah, its not always in the interest of the investor to quickly recoupe a certain investment. .. especially is they can make more money of it in other ways.. money that GoT will never get a share. customs duties are charged at a port regadless of how or who owns the port even Srilanka charges the Chinese customs and taxes...
that lease for Bagamoyo will run for 99 years... (we will all be dead by then) . FYI China merchant holding group is the one that will aquire the port. It also owns a number of ports around the world using the same model. Even the port in Srilanka that chinese took over.. guess what? Its for 99yrs lease then "they give it back" ... but the company is majority govt owned, it is the world leading container producer and owns one of the biggest shipping fleets..they plan to use these ports they own to reduce service chages charged by independent ports(this will mean revenue loss at the ports they own bcoz they will subsidize charges for their own ships) So that they can get maximum profits from the shipping... they will make sure they dont recoupe their $10B in those 99 years so they can continue using the port...
 
Kijana unajua mambo ya uchumi lakini? Naona unaumia sana, na umekuwa msemaji wa kuwasemea watanzania.
Ngoja nitakuelekeza baadae uelewe bagamoyo port ikoje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…