thisdayes
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,610
- 4,556
Huo ni mtizamo wa Kenya. Ila mchina akiongelea Africa ana jua rafiki wa kweli na Tz. Ata hiyo SGR ni Magu ndiyo aliikataa ila mchina alikua tayari kuijenga central corridor yote kwa pamoja siyo kwa kuunga unga kama anavyo fanya Kenya na kwa better deal zaidi.marais wengi wa afrika wamefika kule tayari...it depends on the ties between china and the african country...in kenya, we have the sgr and many other projects we are cooperating with China such as the Nairobi Global Business Centre and Ngara real estate projects....the president must be present to witness such deals being signed...as for tz, there's nothing of significance they are doing with China at the moment...
Sent using Jamii Forums mobile app