Uhuru aondoka kwenda Uchina kuiwakilisha Kenya, EAC na Afrika

Uhuru aondoka kwenda Uchina kuiwakilisha Kenya, EAC na Afrika

Najua maumivu yanakuingia kwa nguvu kubwa. Badala ya kujipendekeza kwenye nchi ya Tanzania ili ikawakilishe EA wewe unapiga porojo.
Asia market yake kubwa sana, Nchi ya Tanzania inaenda kujitangaza kuhusu Utalii, Agriculture and Other Business. Wewe unaona jambo dogo kuitwa kama mgeni wa kipekee toka Africa!!?
Huko kuna market kubwa.
Soma vizuri acha wivu kijana

maumivu yepi...sasa nchi ndogo kama tz inaweza kupa nani maumivu? kisha hio market ya china kama hujajua huwa hawafungui ovyo ovyo vile...na pindi tu wakifungua, itakuwa ni kununua bidhaa kama muhogo na avocado toka kwenu wakati ambapo wanajaza manufactured products zao nchini...usicheze na wachina wewe
 
marais wa nchi zingine kama SA na Nigeria wameenda kule hivyo hao pia ni maraya? 😀😀mbona huna point? kumbuka theresa may amekuwa kule pia...angela merkel wa ujerumani amekuwa nigeria pia jana..when it comes to these big nations, you must step out of our comfort zone and chase after lucrative deals...ndio unaona Kenyatta akifanya...
Mbona kijana hueleweki? Ulikuwa unaongelea China imefanya uwekezaji mkubwa Kenya. Nilikuwa nakuonesha namna gani kiongozi wenu anavyohaha. Poor planning inamfanye sasa aonekane kama malaya.
Hajui afanye nini na nchi gani.
We have clear relationship with countries. USA tunauhusiano nao ambao ni wa kibiashara na inaeleweka kabisa.
Vivyo hivyo uhusinano wa China na Tanzania ni wa kidugu. So we share many things.
 
Nyinyi wa tizii mmempandisha jukwaani balozi wa china akafanya kampeni za ccm!!

Eti mnajiita wajanja.
Sasa utamlinganisha mtu anayechimba dawa na mtua aliye panda jukwaani? Kumpiga picha mtu akiwa faragha ni uvunjifu wa haki za kibinadamu. Waache watoe maelezo.
 
Naona ugonjwa wa VASKO DA GAMA unaambukiza walahi !
Umehamia jirani sasa!
Asante Mola kwa kutuepusha walahi
 
maumivu yepi...sasa nchi ndogo kama tz inaweza kupa nani maumivu? kisha hio market ya china kama hujajua huwa hawafungui ovyo ovyo vile...na pindi tu wakifungua, itakuwa ni kununua bidhaa kama muhogo na avocado toka kwenu wakati ambapo wanajaza manufactured products zao nchini...usicheze na wachina wewe
Naona maumivu yanazidi kuongezeka muda baada ya muda.
Siyo mihogo na avocado pekee. But tunataka Tanzania iwe industrialized. Ndiyo maana mikataba mingi tunayofanya na china ni kujenga viwanda hapa hapa nchini.
Soma hizo news uelewe na uache kupiga kelele tu:

Ninataarifa nyingi tu kijana. Unaweza ukawa kichaa. Usimuone kobe katulia ukazani kalala.
 
Looking at this mutual relationship of china and Tz,Its Sad that Kenya's Relationship with china is only on Kenya Getting Commercial loans from EximBank...China cannot even give bilateral loans it directs kenya to its expensive commercial banks.
The only other relationship is on dumping chinese goods to kenya..What a shame
 
Naona maumivu yanazidi kuongezeka muda baada ya muda.
Siyo mihogo na avocado pekee. But tunataka Tanzania iwe industrialized. Ndiyo maana mikataba mingi tunayofanya na china ni kujenga viwanda hapa hapa nchini.
Soma hizo news uelewe na uache kupiga kelele tu:

Ninataarifa nyingi tu kijana. Unaweza ukawa kichaa. Usimuone kobe katulia ukazani kalala.

unamuuzia mtu mihogo, naye anakuuzia fridge na laptops/computers. hivi hii ni akili ya aina gani?
 
Sasa utamlinganisha mtu anayechimba dawa na mtua ah panda jukwaani? Kumpiga picha mtu akiwa faragha ni uvunjifu wa haki za kibinadamu. Waache watoe maelezo.
Mmoja anachafua mazingira na kusambaza kipindupindu! Mwingine (unayemsifia) ana brainwash wa tizii huku tembo wkipigishwa magoti kwa risasi za kichina.
 
unamuuzia mtu mihogo, naye anakuuzia fridge na laptops/computers. hivi hii ni akili ya aina gani?
Labda mwenza upo na short sight.
Hapa ninakuwekea industrial investment wewe unaleta porojo. Hebu niambie investments zipi china imefanya kwenu!? Kama siyo hizo real estates tu.
Real estates do not employee many local people kijana. But industries shall do. Kuna kuwa na chain ya benefits from raw materials to end products. Labda uwe huna uwezo wa kuwaza vizuri tu.
 
Mmoja anachafua mazingira na kusambaza kipindupindu! Mwingine (unayemsifia) ana brainwash wa tizii huku tembo wkipigishwa magoti kwa risasi za kichina.
Tupe uthibitisho kama kuna risasi za kichina zinauwa tembo wa Tanzania. Au unataka kusema serikali ya Uchina kupitia balozi wake ina hamasisha raia wake kuuwa tembo Tanzania?
 
Huu mpago wa belt and roads jiandaeni kiskolojia kuusahau, na hivi Uhuru kakurupuka kwenda kwa Trump wakati Trump ana chafuana na mchina, msahau tu.

Watanzania huwa mnatia huruma, hata baada ya kuwa majirani na sisi kwa miaka yote hii hamjajifunza kitu, lazima ujue jinsi ya kucheza karata na hawa watu, huyo Trump tutatafuna vyake na pia hata Mchina hatutamuacha, na wote watabaki kwenye kapu letu.

Nyie tatizo lenu kila kitu mnapenda kuuza sura na kutafuta mambo ya undugu hadi Wachina wakija mnawapa kofia za CCM, hicho chama kimewalemaza akili
baloz-jpg.113407

bal-jpg.113409
 
Amekwenda kwenye hafla ya 2018 FOCAC, japo pia kama ilivyo kawaida, atakua na vikao vya pembeni vya kutengeneza deals kali kali.
Mada zitakazojadiliwa huko ni pamoja na
China’s Belt and Road Initiative
The United Nations’ 2030 Agenda for Sustainable Development
The African Union’s Agenda 2063
Development strategies of individual African countries

uhur-kenyatta-leaves-for-china.jpg

President Uhuru Kenyatta leaves for China on Friday, August 31,2018. Photo/PSCU

President Uhuru Kenyatta left the country for Beijing where he is scheduled to attend the Forum on China-Africa Cooperation (FOCAC) Summit.
The plane carrying the Head of State and his delegation departed Jomo Kenyatta International Airport shortly after 7pm on Friday.

Leader of Majority in Parliament Aden Duale, Head of Public Service Joseph Kinyua and Chief of Defence Forces General Samson Mwathethe were at the airport to see off the President.

Besides the FOCAC Summit, President Uhuru Kenyatta is expected to hold bilateral talks with his host, President Xi Jinping.

The meeting will focus on trade, infrastructure, investments, education and technology which are common areas of interest for both Kenya and China.

The President travels to the Chinese capital a day after meeting with British Prime Minister Theresa May in Nairobi and shortly after he returned from a historic meeting with US President Donald Trump in Washington DC.

While addressing a joint press conference with PM Theresa May in Nairobi on Thursday, President Uhuru Kenyatta said Kenya will follow realistic cooperation with all global partners.

He added that Kenya and the Britain have reciprocal interests and especially those that ensure the lives of Kenyans are improved.

The goal of the 2018 FOCAC meeting is the promotion of economic and trade cooperation between China and African economies.

It also seeks to synergise China’s Belt and Road Initiative, the United Nations’ 2030 Agenda for Sustainable Development, the African Union’s Agenda 2063, and the development strategies of individual African countries.
https://citizentv.co.ke/news/presid...ications&utm_campaign=onesignal_notifications
Huenda ataunganishia na kuomba wamuongezee kipande kingine cha sgr ya ujanjaujanja apate 10% wajinga ndio waliwao,kama walifanikiwa kumiliki ardhi karibu yote kenya na wajinga wengine wakapata ardhi humu jf kupayuka wakifurahia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nice one.

Hii inamaanisha Skynews isn't interested with May's visit to an extend of not knowing where she went! Afterall they didn't confuse her whereabouts when in Nigeria n they won't when she touches SA! Kenya is simply irrelevant to their coverage.
 
Watanzania huwa mnatia huruma, hata baada ya kuwa majirani na sisi kwa miaka yote hii hamjajifunza kitu, lazima ujue jinsi ya kucheza karata na hawa watu, huyo Trump tutatafuna vyake na pia hata Mchina hatutamuacha, na wote watabaki kwenye kapu letu.

Nyie tatizo lenu kila kitu mnapenda kuuza sura na kutafuta mambo ya undugu hadi Wachina wakija mnawapa kofia za CCM, hicho chama kimewalemaza akili
baloz-jpg.113407

bal-jpg.113409
Wakenya hamnazo kabisa eti trump tutatafuna vyake na hata mchina,nakukumbusha tu huwezi kula bila kuliwa mkuu rejea SGR ya makaa ya mawe mnayokula kupitia mchina na yeye atakavyowala kwa miaka 50+.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tupe uthibitisho kama kuna risasi za kichina zinauwa tembo wa Tanzania. Au unataka kusema serikali ya Uchina kupitia balozi wake ina hamasisha raia wake kuuwa tembo Tanzania?
Swali lako liko kimatisho matisho hivi!

Anyway niishie kwa kukwambia kuwa:-
Mti huitwa kwa matunda yake!
Endelea kukusanya ushahidi ambao najua unao.
 
Watanzania huwa mnatia huruma, hata baada ya kuwa majirani na sisi kwa miaka yote hii hamjajifunza kitu, lazima ujue jinsi ya kucheza karata na hawa watu, huyo Trump tutatafuna vyake na pia hata Mchina hatutamuacha, na wote watabaki kwenye kapu letu.

Nyie tatizo lenu kila kitu mnapenda kuuza sura na kutafuta mambo ya undugu hadi Wachina wakija mnawapa kofia za CCM, hicho chama kimewalemaza akili
baloz-jpg.113407

bal-jpg.113409
Kenya ni nchi ndigo na masikini kuwacgezwa hao wakubwa wenye uwezo wa kuimeza Kenya kwa dakika sufuri.

Mnapenda kuweka picha ya huyu jamaa wakati huyo jamaa anavaa kofia mbili, kwanza ni ya serikali kama balozi, na ya pili ni ya chama cha CCP. CCP na CCM wote wako kwenye njia moja, kitu ambacho hakuna chama Kenya chenye hadhi kama CCP au CCM. Nilicheka eti Jubilee wanataka kuwa na CCM Old Grand Party. Hata zile nchi mnazoita watawala wenu US UK wao pia wana Old Grand Party lakini Kenya hakiwezekani kwa sababu za kitapeli.
 
Meanwhile China inks deal to Build Bagamoyo in a favourable BoT model with JPM. Kenya only gets 8% Loans from EximBank and an old disel locomotive while paying china ksh 1bn per month to run the railway.
There is something about JPM's bilateral diplomacy that we realy need to understand.
Something good is happening in Tz
Afadhali kukopa na umiliki mwenyewe baada ya miaka 30, kuliko nyi mlio peana Bagamoyo bure waimiliki milele... kuanzia 2030 bagamoyo port zone will be chinese territory
 
Back
Top Bottom