Kwa hiyo barabara ya Uhuru kama unaelekea Mlango Mmoja vipo jirani na Nyegezi karibu kabisa na kambi ya jeshi?
Yes niliiona piaAmefungua kubwa Maeneo ya iseni ukitoka nyegezi jeshini kwa chini hapo
Hapa ndo huwa nayaheshimu mashairi ya mwanafalsafa kutoka wimbo wa we endelea tu;"Sikiliza waliofanikiwa,ongeza zako mbayu wayu!"Huu msemo mie naona huwa ni kujifariji tu!unanikera mno huu msemo!endeleeni kujipa moyo!
Sijui nani aliuleta!....
Hiyo iliyofunguliwa kuelekea nyegezi ni nyingine tenaKwa hiyo barabara ya Uhuru kama unaelekea Mlango Mmoja vipo jirani na Nyegezi karibu kabisa na kambi ya jeshi?
Zipo sehemu mbili zote hizo walizozisema hao wakuu...Kwa hiyo barabara ya Uhuru kama unaelekea Mlango Mmoja vipo jirani na Nyegezi karibu kabisa na kambi ya jeshi?
Kuna daktari mmoja matata sana. Nikiwa mwanza lazima njfike kuchek afya hata kama siumwi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ile ya pale Iseni ni ya nani?Sio dispensary ni hospital, iko pale barabara ya uhuru kama unaelekea mlango mmoja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mitaa ya Mlango mmoja karibu na sehemu za Aspen Hoteli kama sijakoseaHiyo Uhuru dispensary iko eneo gani Hapa mz?
Si zahanati bwana! ni hospitali kubwa kubwa. Hata marehemu Kibonde alivyoanza kuumwa akiwa kule Kagera kwa akina Ruge walianza kumfikishia hapo kabla ya BugandoHiyo Uhuru dispensary iko eneo gani Hapa mz?
Ni kweli hata mimi nilishaiona, karibu na kituo cha mabasi. ameweka na fensiAmefungua kubwa Maeneo ya iseni ukitoka nyegezi jeshini kwa chini hapo
Huo mtaa wa mkanyenye ndipo hospital ilipo nadhani pamekuwa padogo make panebanana ni kweli hata packing ni ndogo mno kwa hiyo pale Esien eneo lile ni kubwa na panafaa pia
Naamini kila kitu ni malengo na uthubutu. Plan iwe nzuri ila kuepuka kuanguka kunakokatisha tamaa.Kwa mara ya kwanza nilimsikia kwenye semina za fursa za clouds. Anaitwa Dr. Derrick.
Kwa jinsi anavyoongea, ni kama kwamba ni kwa vile ana uwezo mkubwa wa kuona fursa na kuchukua hatua na kwa akili na maarifa aliyo nayo, ameweza kufika hapo.
Pia nilimsikia akisema zipo fursa za wadau walio tayari kutoa mitaji kufadhili miradi iliyobuniwa, lakini watu wenyewe, ndio hawapo wanaobuni miradi.
Napenda kujua mwekezaji huyu alianzaje hadi kufika hapo?
Najiuliza mimi mtoto wa mkulima nimalize kozi ya udaktari na kwa miaka isiyozidi sita naweza kuwa na mtaji wa kuanzisha Hospitali?