Uhuru Kenyatta sio mwana demokrasia bali amelazimika kukubali uamuzi wa mahakama. Kumbuka ule uchaguzi uliomweka Mwai kibaki madarakani kwa mara ya pili ulisababisha vurugu katika nchi ya kenya, watu wengi waliuawa, wengine ni vilema hadi leo. Uhuru Kenyatta na Ruto walifikishwa kwenye mahakama ya kimataifa. Kutokana na funzo alilolipata huko nyuma hana njia nyingine ya kufanya ila kukubali uamuzi wa mahakama kuu wa kutengua matokeo ya uchaguzi. Uhuru anajua kabisa nini kitatokea akipuuza hukumu ya mahakama kuu. Wapinzani walikuwa wametulia kwa muda wanasubiri hukumu ya kesi waliyoifungua kupinga matokeo ya uchaguzi uliompa ushindi uhuru kenyatta. Kwa wanaofahamu na kufuatilia siasa nchini Kenya wanajua kabisa Uhuru hana ubavu wa kupinga hukumu ya kutengua ushindi wakeBaada ya "Supreme Court" kufutilia mbali matokeo ya uchaguzi yaliyomtangaza Uhuru Kenyatta kuwa mshindi wa urais wa Kenya kwenye uchaguzi wa 8/8/2017.Yameibuka mengi kuhusu "jinsi" demokrasia ilivyokua nchini humo chini ya utawala wa Uhuru Kenyatta...
Je,wewe unaona Uhuru Kenyatta ni mwanademokrasia kwa kitendo cha mahakama kutoa maamuzi magumu dhidi yake japo uchaguzi ulikuwa wa figisu figisu?...
Swali kwa kitendo hicho ndiyo tumfahamu Uhuru kama ni mwanademokrasia?Kukubali na kuheshimu matokeo ya Mahakama Kuu ni demokrasia tayari. Je angeamua kuyapinga na kuleta vurugu. Wananchi wangefanyaje.
Kaheshimu maamuzi ya mahakama.
Sent by Samson Cyper
Limebuma hadi majaji aliowateua mwenyewe wameona aibu kumlinda kwasababu ushahidi ulikuwa waziSio mwanademokrasia, alijaribu zali sasa limebuma...bila shaka anajutia uamuzi wake.
Uhuru ni mwanademokrasia na atashinda uchaguzi wa marudio kwa kishindo sana.Sijui raila na wapambe wake hapa bongo watasemaje!
Tutajua soon.Watu wa ccm najua imewauma sana.Lakin atashinda tena kwa kishindoWewe ni nabii?
Kwahiyo anaiogopa THE HAGUE?Uhuru Kenyatta sio mwana demokrasia bali amelazimika kukubali uamuzi wa mahakama. Kumbuka ule uchaguzi uliomweka madarakani kwa mara ya kwanza ulisababisha vurugu katika nchi ya kenya, watu wengi waliuawa, wengine ni vilema hadi leo. Uhuru Kenyatta na Ruto walifikishwa kwenye mahakama ya kimataifa. Kutokana na funzo alilolipata huko nyuma hana njia nyingine ya kufanya ila kukubali uamuzi wa mahakama kuu wa kutengua matokeo ya uchaguzi. Uhuru anajua kabisa nini kitatokea akipuuza hukumu ya mahakama kuu. Wapinzani walikuwa wametulia kwa muda wanasubiri hukumu ya kesi waliyoifungua kupinga matokeo ya uchaguzi uliompa ushindi uhuru kenyatta. Kwa wanaofahamu na kufuatilia siasa nchini Kenya wanajua kabisa Uhuru hana ubavu wa kupinga hukumu ya kutengua ushindi wake
Hana hata chembe ya uanademokrasia maana amewatukana majaji hadharani. Kawaita wakora na kawaahidi atapambana nao akirudi madarakani. Hadharani kasema uamuzi wa watu 6 hauwezi kupindua maamuzi ya watu milioni 40. Maana yake haamini mahakama kuu yake. Na kama angekuwa na uwezo isingewezekana kubatilisha matokeo. Hana cha kusifiwa hata kimoja.Baada ya "Supreme Court" kufutilia mbali matokeo ya uchaguzi yaliyomtangaza Uhuru Kenyatta kuwa mshindi wa urais wa Kenya kwenye uchaguzi wa 8/8/2017.Yameibuka mengi kuhusu "jinsi" demokrasia ilivyokua nchini humo chini ya utawala wa Uhuru Kenyatta...
Je,wewe unaona Uhuru Kenyatta ni mwanademokrasia kwa kitendo cha mahakama kutoa maamuzi magumu dhidi yake japo uchaguzi ulikuwa wa figisu figisu?...
Duh....ebu ngoja tuone!Hana hata chembe ya uanademokrasia maana amewatukana majaji hadharani. Kawaita wakora na kawaahidi atapambana nao akirudi madarakani. Hadharani kasema uamuzi wa watu 6 hauwezi kupindua maamuzi ya watu milioni 40. Maana yake haamini mahakama kuu yake. Na kama angekuwa na uwezo isingewezekana kubatilisha matokeo. Hana cha kusifiwa hata kimoja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Angekuwa mwanademokrasia Msando angekuwa hai leo. Nadhani umenielewa. Ni kama huyo babu yenu alivyoua na kuua na bado akakosa.Uhuru ni mwanademokrasia na atashinda uchaguzi wa marudio kwa kishindo sana.Sijui raila na wapambe wake hapa bongo watasemaje!
Kukubali na kuheshimu matokeo ya Mahakama Kuu ni demokrasia tayari. Je angeamua kuyapinga na kuleta vurugu. Wananchi wangefanyaje.
Kaheshimu maamuzi ya mahakama.
Sent by Samson Cyper
Walioua ni chama chako cha majambazi.Mwaka wa uchaguzi kuanzia january mpaka may kila siku ajali za mabasi kutoa kafara watu,na kuua albino.Mungu atauangusha utawala wenu wa kishetaniAngekuwa mwanademokrasia Msando angekuwa hai leo. Nadhani umenielewa. Ni kama huyo babu yenu alivyoua na kuua na bado akakosa.
Sent using Jamii Forums mobile app