Iyegu
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 6,276
- 12,404
Baada ya "Supreme Court" kufutilia mbali matokeo ya uchaguzi yaliyomtangaza Uhuru Kenyatta kuwa mshindi wa urais wa Kenya kwenye uchaguzi wa 8/8/2017.Yameibuka mengi kuhusu "jinsi" demokrasia ilivyokua nchini humo chini ya utawala wa Uhuru Kenyatta...
Je,wewe unaona Uhuru Kenyatta ni mwanademokrasia kwa kitendo cha mahakama kutoa maamuzi magumu dhidi yake japo uchaguzi ulikuwa wa figisu figisu?...
Je,wewe unaona Uhuru Kenyatta ni mwanademokrasia kwa kitendo cha mahakama kutoa maamuzi magumu dhidi yake japo uchaguzi ulikuwa wa figisu figisu?...