Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Huko Hakuna KIKOKOTOKuna tofauti kubwa kati ya mwanaume na mwanamke.
Lakini sasa hivi si makusanyo yameongezeka sana, na rekodi zote zimevunjwa?Ye kenge akiharibu nchi, si mlikuwa mnamuita huyu kibaraka wa mabeberu.
Utaongeza kwa uchumi ulioporomoka?
Mwambie I Uhuru akimaliza muda wake kama bado anautaka u Rais aje tu huku tutampa kumi ya nyongeza.
Urais ilibidi wapewe watu waliokulia ikulu ...Uhuru ndio kiongozi Bora kwa Afrika masharikiMwambie I Uhuru akimaliza muda wake kama bado anautaka u Rais aje tu huku tutampa kumi ya nyongeza.
Serikali omba omba hii ina hofu ya wage Bill kua kubwa.
Mwaka jana wakati hagaya anaongea alikua na kimuhe muhe cha urais akajua anaweza kuropoka chochote tu
Hakuna nyongeza kwa wafanyakazi wa bongo (Tanganyika)
Tulikuwa na jambazi sio RaisMbona hapa bongo 2020 hamkuongezwa mshahara.
Nenda kwa Uhuru Kenyatta kwani tuseme wewe ni kabila gani?