Uhuru Kenyata yeye kaongeza mshahara bila kumug'unya hata maneno. Hapa kwetu mshahara unaongezwa kwa kificho

Uhuru Kenyata yeye kaongeza mshahara bila kumug'unya hata maneno. Hapa kwetu mshahara unaongezwa kwa kificho

nitashauri Tume ya Uchaguzi waweke kifaa cha kupimia Bange kabla ya kutoa fomu ili tusirudie makosa yaliyowahi kufanyika
Mwambie I Uhuru akimaliza muda wake kama bado anautaka u Rais aje tu huku tutampa kumi ya nyongeza.
 
Kenyatta amefanya hivyo kwa sababu
1. Huu ni wakati wa campaign za uchaguzi mkuu nchini Kenya hivyo basi lazima wa Kenya walainishwe

2. Yeye kwake hii ni term ya mwisho, kama atalipa mishahara mipya haitozidi miezi 4. Baada ya hapo mzigo wa mshahara utabebwa na Serikali nyingine
 
Kenya hawana Loyo Tua. Wananyooka tu; black and white.
 
Kingekuwa na uwezekano wa kubalishana maraisi kati ya Kenya na tz ningeunga mkono jambo hilo
 
Mishahara iongezeke hela inatoka wapi??

Rais mwenyewe analipiwa nauli ya marekani na watu binafsi.

Mishahara mtaanza kulipwa na watu binafsi mda si mrefu.
 
Hamkuongezwa mishahara miaka 6 mlkua kimya, Leo Mama anasema ataongeza (hata kama hajataja kiasi) inakua nongwa kisa hajasemaa anaongeza kwa kiasi gan
 
Huyo aliyewaongezea wake 12% ya minimum wage unaeza kuta ni kahela kadogo sana, waendelee na 12% yao haituhusu
 
Back
Top Bottom