Mwambie I Uhuru akimaliza muda wake kama bado anautaka u Rais aje tu huku tutampa kumi ya nyongeza.
Tena mwanamke mke wa pili sijui watatuKuna tofauti kubwa kati ya mwanaume na mwanamke.
Kwani hujui kwamba Uhuru anaingia tena kwenye uchaguzi mkuu nchini kenya nyuma ya Raila dhidi ya Rutto?
Tunalipa kwanza marejesho ya ukopaji wa kibwegeSerikali omba omba hii ina hofu ya wage Bill kua kubwa.
Mwaka jana wakati hagaya anaongea alikua na kimuhe muhe cha urais akajua anaweza kuropoka chochote tu
Hiyo clip ya Sugu huwa inanifurahisha sanaWatu na viongozi wao vs Mapaka na viongozi wao:
💪💪💪👇
View attachment 2207469
🐒🐒🐒👇View attachment 2207470
View attachment 2207471
View attachment 2207472
Kwa Nchi zingine zilizoongeza Uchumi haujaporomoka??Ye kenge akiharibu nchi, si mlikuwa mnamuita huyu kibaraka wa mabeberu.
Utaongeza kwa uchumi ulioporomoka?
Kwani Tanzania 2020 kulikiwa hakuna uchaguzi,mishahara haongezwi kwa kigezo cha uchaguzi bali gharama za maisha.Pia kumbuka Kenya kuna uchaguzi,usisahau hili.
Kenyatta anagombea tena?Pia kumbuka Kenya kuna uchaguzi,usisahau hili.
Hujui kitu Kaa kimyaKenyatta anagombea tena?
Usidanganye watu kwa kujifanya mjuaji.
Mbona hubadiliki, siku zote unabaki kuwa 'skunk' tu!Hujui kitu Kaa kimya
🚮🚮🚮Mbona hubadiliki, siku zote unabaki kuwa 'skunk' tu!
Good. Stay there.