Uhuru Kenyatta akodisha ndege ya kifahari kwa gharama ya $370,000 kwa siku.

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617

Wakati wakenya waliendelea kubebeshwa mzigo wa kodi, WB ikiwakataza wahisani kuikopesha Kenya kutokana na deni kubwa la Kenya lisilolipika, rais wao ameendelea kufanya safari za kifahari zisizokua na umuhimu wowote kwa uchumi wa Kenya.

Ni hivi majuzi tu, Uhuru alimaliza ziara yake katika visiwa vya Jamaica na Visiwa jirani kwa kutumia ndege ya kukodi ndogo Gulf stream G650. Hii ni miongoni mwa ndege ghali sana duniani kukodisha au kununua.

Kama vile haitoshi, Uhuru Kenyatta ameamua kukodisha dege kubwa la kifahiri Aibus series yenye uwezo wa kubeba watu 150 kwa kawaida, kwa gharama ya $370,000 kwa siku, kwenda Japan na baadae Urusi, ambako marais wa Afrika walikutana na rais wa URUSI.

Safari hii alikodi kwa muda wa siku 10 na kufanya gharama kufika takriban $3.7M, usafiri pekee. Zaidi ya 80% ya marais wa Africa waliohudhuria mkutano huo walitumia ndege za Abiria, isipokua Museven aliyetumia ndege yake G500, na rais wa South Africa, aliyetumia ndege yake.
 
Vp kuhusu $17m kw ajili ya matibabu ya spika wenu..

Heheeeee!!naona umekuja kujitetea ki vingine...eti uhai na pesa na wakati mmepigwa hapo tayari...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hata $1B Kwa afya ya binadamu sio hoja. Hauwezi linganisha uhai na pesa..Ingekua hoja kama spika angekuwa ameenda hospitali kuongezwa urefu wa uume wake, kupandwa nywele za kizungu kichwani ama kubadilisha ngozi yake rangi.
 
Wachaa wee!!$17m kw matibabu...halafu nijue km nani hilo lengo lake wakati hayo ni madudu hamtaki CAG ayakague...ccm majizi sana
Hata kama angeenda UK au Ujerumani katika Hospital ya ghali kuliko zote duniani, gharama isingezidi $2M, unajua lengo la kwenda kutibiwa India?
 
Wachaa wee!!$17m kw matibabu...halafu nijue km nani hilo lengo lake wakati hayo ni madudu hamtaki CAG ayakague...ccm majizi sana
Hili la Uhuru kuzunguka hovyo duniani bila faida yoyote wakati nchi inazama ktk dimbwi la Madeni, unazungumziaje?
 
Huyu aliandika hii ni mkenya au ni mbongo mbona wakenya wako sijikia hii malalamiko?
 
Hili la Uhuru kuzunguka hovyo duniani bila faida yoyote wakati nchi inazama ktk dimbwi la Madeni, unazungumziaje?

Ansbert Ngurumo

Ndege zinazoendeshwa kisiasa badala ya kibiashara ni mradi wa mafisadi watawala. Zitakuwa kama zile 12 za 1978 ambazo hamtaki kusema zilikoishia. Tutahoji tu, hata kama mtatushambulia. Mmezinunua kifisadi. Mnaziendesha kifisadi, dhidi ya ukaguzi wa CAG. Ni wizi kama mwingine!
Image

2:48 PM · Oct 26, 2019·Twitter for Android
 
Fungua Uzi kuhusu hili, sasa hivi tunazungumzia Uhuru kuzunguka dunia kwa kutumia ndege za kifahari wakati nchi inafilisika. Hili unalionaje, au hamuoni ni tatizo?
 
Back
Top Bottom