Uhuru Kenyatta anafanya kazi nzuri sana dhidi ya Somalia

imhotep

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
55,997
Reaction score
88,219
Kenya ya Shujaa Uhuru Kenyatta imekataa katakata kudhulumiwa ardhi na Maharamia wa Somalia.

Huu ni mwamnko mzuri sana katika Bara hili la dhidi ya Afrika na Ukoloni mamboleo.

Wasomali walifikiri wanaweza kupora Mpaka mzima kwa kuilaghai Dunia kuwa ati walipewa na Wataliani kitu ambacho sio kweli,sasa ati wamekimbilia kwenye mahakama za huko ughaibuni.

Wasomali hawahawa baada ya kuibomoa nchi yao na kukimbilia Kenya iliwapokea kwa mikono mikunjufu,leo hii wanapanga Njama za kuiteketeza Kenya na watu wake sisi kama raia wa Afrika Mashariki kamwe hatutakubali.

Huu ni Ugomvi wa Kenya na Somalia, tena bado upo mahakamani, vipi unaingiza Afrika mashariki?, acha ubaguzi kwa misingi ya kikanda, sisi wote ni waafrika hatukubali kugawanywa kwa aina yoyote ile. Subiri mahakana itoe uamuzi na mwenye haki atapata haki yake, acha kutugombanisha ili tuwachukie wasomali.
 
Uhuru ni mwoga mwenye ubabe ubabe mwingi tu.
Kisiwa cha migingo kipo mkononi wa museveni, hivi museveni pia utamuita mkoloni?
Hiyo bahari iliyotekwa na somali wasau kabisa pamoja na mafuta na gesi iliopo chini yake..Tumezoea mikwara yake ya kila siku ila hamna actions..Juzi tu akijiepea ban ya twitter kisa kutishwa na mafisadi waliomwambia athubutu kuongea shobo tena kwa mitandao wamchukulie hatua
 
Nashidwa kushangaa unajinasibu kwa mbwebwe dhidi ya somalia ,hao somali wenyewe wapo wapi ni kama kumsukuma mlevi😵😵
 
Huu ni Ugomvi wa Kenya na Somalia, tena bado upo mahakamani, vipi unaingiza Afrika mashariki?, acha ubaguzi kwa misingi ya kikanda, sisi wote ni waafrika hatukubali kugawanywa kwa aina yoyote ile. Subiri mahakana itoe uamuzi na mwenye haki atapata haki yake, acha kutugombanisha ili tuwachukie wasomali.
The president of the ICJ is Somali and we can already predict the out come.Our Navy is in the process of acquiring some serious hardware for that reason.
 
Nna assume hicho kisiwa kingekua na mvutano kati ya Uganda na Rwanda tuone kama M7 angeweza kumnyanganya Kagame hahah
Uhuru ni mwoga mwenye ubabe ubabe mwingi tu.
Kisiwa cha migingo kipo mkononi wa museveni, hivi museveni pia utamuita mkoloni?
Hiyo bahari iliyotekwa na somali wasau kabisa pamoja na mafuta na gesi iliopo chini yake..Tumezoea mikwara yake ya kila siku ila hamna actions..Juzi tu akijiepea ban ya twitter kisa kutishwa na mafisadi waliomwambia athubutu kuongea shobo tena kwa mitandao wamchukulie hatua
 
The president of the ICJ is Somali and we can already predict the out come.Our Navy is in the process of acquiring some serious hardware for that reason.
Then it is your choice to accept or reject decisions of ICJ, it is an international body, the world respect it, Tanzania as part of this World we do respect it.

Tanzania has marine border dispute with Malawi, we also follow all those procedures of international community, any decision we shall accept, we are not arrogant, therefore your problem with Somali is not EA problem.
 
So what?, kabla ya kuwachukia wasomali kwasababu ya kuwabagua hao, tuanze kuwachukia Kikuyu na Jaluo kwasababu hata wao wanachukiana?. Huwezi kumuiga mtu mpumbavu anapofanya mambo ya kipumbavu.
yani unadhihirisha dhahir chuki yako kw kenya..bwahahaaa.mara hoo..sisi ni africa moja...mara ukaanza kutaja ukabili...roho yako km ni nyeusi n nyeusi..

kisha jamaa ywajifanya ana busara kweli...anaongea kw chuki kijanja
 
Imhotep wewe mjamaa ni msomaliland , nafatilia sana mada zako una mahaba mazito na Somaliland, naona mnaanza propaganda zidi ya ndugu zenu wasomalia duuh kweli ,dunia tambala bovu.
 
yani unadhihirisha dhahir chuki yako kw kenya..bwahahaaa.mara hoo..sisi ni africa moja...mara ukaanza kutaja ukabili...roho yako km ni nyeusi n nyeusi..

kisha jamaa ywajifanya ana busara kweli...anaongea kw chuki kijanja
Hahahahaha, Hahahahaha, Hahahahaha.
Anakupa matumaini ya bure, Kenya na Tanzania ni sawa na mafuta na MAJI.
 
Back
Top Bottom