Huu ni Ugomvi wa Kenya na Somalia, tena bado upo mahakamani, vipi unaingiza Afrika mashariki?, acha ubaguzi kwa misingi ya kikanda, sisi wote ni waafrika hatukubali kugawanywa kwa aina yoyote ile. Subiri mahakana itoe uamuzi na mwenye haki atapata haki yake, acha kutugombanisha ili tuwachukie wasomali.Kenya ya Shujaa Uhuru Kenyatta imekataa katakata kudhulumiwa ardhi na Maharamia wa Somalia.
Huu ni mwamnko mzuri sana katika Bara hili la dhidi ya Afrika na Ukoloni mamboleo.
Wasomali walifikiri wanaweza kupora Mpaka mzima kwa kuilaghai Dunia kuwa ati walipewa na Wataliani kitu ambacho sio kweli,sasa ati wamekimbilia kwenye mahakama za huko ughaibuni.
Wasomali hawahawa baada ya kuibomoa nchi yao na kukimbilia Kenya iliwapokea kwa mikono mikunjufu,leo hii wanapanga Njama za kuiteketeza Kenya na watu wake sisi kama raia wa Afrika Mashariki kamwe hatutakubali.
Nashidwa kushangaa unajinasibu kwa mbwebwe dhidi ya somalia ,hao somali wenyewe wapo wapi ni kama kumsukuma mlevi😵😵Kenya ya Shujaa Uhuru Kenyatta imekataa katakata kudhulumiwa ardhi na Maharamia wa Somalia.
Huu ni mwamnko mzuri sana katika Bara hili la dhidi ya Afrika na Ukoloni mamboleo.
Wasomali walifikiri wanaweza kupora Mpaka mzima kwa kuilaghai Dunia kuwa ati walipewa na Wataliani kitu ambacho sio kweli,sasa ati wamekimbilia kwenye mahakama za huko ughaibuni.
Wasomali hawahawa baada ya kuibomoa nchi yao na kukimbilia Kenya iliwapokea kwa mikono mikunjufu,leo hii wanapanga Njama za kuiteketeza Kenya na watu wake sisi kama raia wa Afrika Mashariki kamwe hatutakubali.
The president of the ICJ is Somali and we can already predict the out come.Our Navy is in the process of acquiring some serious hardware for that reason.Huu ni Ugomvi wa Kenya na Somalia, tena bado upo mahakamani, vipi unaingiza Afrika mashariki?, acha ubaguzi kwa misingi ya kikanda, sisi wote ni waafrika hatukubali kugawanywa kwa aina yoyote ile. Subiri mahakana itoe uamuzi na mwenye haki atapata haki yake, acha kutugombanisha ili tuwachukie wasomali.
Uhuru ni mwoga mwenye ubabe ubabe mwingi tu.
Kisiwa cha migingo kipo mkononi wa museveni, hivi museveni pia utamuita mkoloni?
Hiyo bahari iliyotekwa na somali wasau kabisa pamoja na mafuta na gesi iliopo chini yake..Tumezoea mikwara yake ya kila siku ila hamna actions..Juzi tu akijiepea ban ya twitter kisa kutishwa na mafisadi waliomwambia athubutu kuongea shobo tena kwa mitandao wamchukulie hatua
Then it is your choice to accept or reject decisions of ICJ, it is an international body, the world respect it, Tanzania as part of this World we do respect it.The president of the ICJ is Somali and we can already predict the out come.Our Navy is in the process of acquiring some serious hardware for that reason.
So what?, kabla ya kuwachukia wasomali kwasababu ya kuwabagua hao, tuanze kuwachukia Kikuyu na Jaluo kwasababu hata wao wanachukiana?. Huwezi kumuiga mtu mpumbavu anapofanya mambo ya kipumbavu.
Wasomali ni wabaguzi na Wadini sanaSo what?, kabla ya kuwachukia wasomali kwasababu ya kuwabagua hao, tuanze kuwachukia Kikuyu na Jaluo kwasababu hata wao wanachukiana?. Huwezi kumuiga mtu mpumbavu anapofanya mambo ya kipumbavu.
Wakenya pia ni wabaguzi na wana ukabila sana, je nao pia tuwatenge?Wasomali ni wabaguzi na Wadini sana
yani unadhihirisha dhahir chuki yako kw kenya..bwahahaaa.mara hoo..sisi ni africa moja...mara ukaanza kutaja ukabili...roho yako km ni nyeusi n nyeusi..So what?, kabla ya kuwachukia wasomali kwasababu ya kuwabagua hao, tuanze kuwachukia Kikuyu na Jaluo kwasababu hata wao wanachukiana?. Huwezi kumuiga mtu mpumbavu anapofanya mambo ya kipumbavu.
Hahahahaha, sema sisi kama CHADEMA tunaunga mkono Jubilee kwasababu wakati wa Uchaguzi mlisaidiana. Kenya na Tanzania wapi na wapi?.Sisi kama Watanzania tunawaunga mkono ndugu zetu Wakenya dhidi ya ubabe wa Maharamia na Alshababu
sasa mtanzania aede kenya na mwngine aende somalia...uone wapi atabaguliwa...ishu za kenya za siasa zisikutie tumbo joto...Wakenya pia ni wabaguzi na wana ukabila sana, je nao pia tuwatenge?
Hahahahaha, Hahahahaha, Hahahahaha.yani unadhihirisha dhahir chuki yako kw kenya..bwahahaaa.mara hoo..sisi ni africa moja...mara ukaanza kutaja ukabili...roho yako km ni nyeusi n nyeusi..
kisha jamaa ywajifanya ana busara kweli...anaongea kw chuki kijanja
umehamia kw chama sasa...yani haswaHahahahaha, sema sisi kama CHADEMA tunaunga mkono Jubilee kwasababu wakati wa Uchaguzi mlisaidiana. Kenya na Tanzania wapi na wapi?.