Uhuru Kenyatta anafanya kazi nzuri sana dhidi ya Somalia

Wacha habari za Misibani,Wakenya ni wachapakazi Wivu hauna tija chapa kazi Dezo dezo mbaya.
Dezo dezo kama zipi? kwan watanzania sio wachapakaz au unadhan surplus ya mazao yetu huwa wanakuja kulima wakenya nn...yaan mtu anaezalisha chakula cha ziada ashindwe kujituma kuliko mkenya hahahahha naona unamaanisha mashamba ya tz yanajilima huku si tukiwa uvivuni kitandan au sio...
 
Tunaombaa proof anko hatutaki vmaneno vyako
 
kwanza ujue ummayed..kenya hatulipii kodi nyumba au kiwanja kwa serikali....labda biashara na majengo ambayo ni ya biashara..tena hayo majengo ya biashara labda city center ama town center...
Mlipe kodi za nyumba au viwanja wakati hata kiwanja huna utajuaje ka wanalipa au hawalipi hahahah
 
Ikitaka ujue mikenya mipuuzi iiulize inclusive economy ni nini ka wanajua hahahahah
 
Mlipe kodi za nyumba au viwanja wakati hata kiwanja huna utajuaje ka wanalipa au hawalipi hahahah
watu wana viwanja makwao mpaka vimeota nyasi vingine...lkn hamna siku mtu atakuja kutafuta eti ujenge au kitaifiswhe ..ardhi ni ya kila mtu bana....bora hela zako..vp unakisima kwanza nikusaidie kukilipia kodi...bwahahaa
 
Mwambie sadari wako awe anaikausha vizuri hiyo bangi anayokuuzia Anko sawaa..usije data buree
I know everyone praises his own nation, but TZ on military strength you really over-estimate yourself.
 
Kadata huyo mjaruo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…