Uhuru Kenyatta anafanya kazi nzuri sana dhidi ya Somalia

Uhuru Kenyatta anafanya kazi nzuri sana dhidi ya Somalia

Standard gauge ni reli za umeme stiblers gorge ni project kubwa ya umeme inaotegemea maporomoko makubwa ya maji usichanganye madesa
Kwani Struggles gorge ni ya Kazi gani ama mtaanza na diesel engine???
 
Hiyo ni kibera slums ya kenya kweli mna maendeleo
300px-Kibera_Nairobi_Kenya_slums_shanty_town_October_2008.jpeg
300px-Nairobi_Kibera_04.JPG
 
We umerogwa we huon wavuv wale kurasin kupo vile mbagala kupo.vile we kweli mjaruo.
Kibera slums unaizungumziaje hapo chini kwa wenzetu kenyans mlioendelea.
View attachment 1106532
Kurasini Slum Dar es salaam
Tandika slum,Mbagala slum
Hivi slums za kibera wallah rliyahmali ni vibanda vya diiikun twasemaga shombeshombe maanake bata
300px-Kibera_Nairobi_Kenya_slums_shanty_town_October_2008.jpeg
300px-Nairobi_Kibera_04.JPG
 
Sio km kipind cha nyuma hakuna mgao siku hz ukiona umeme umekatika ujue kuna matengenezo ya kubadilisha nguzo za umeme na haichukui muda umeme unarud.mgao uko Venezuela huko week had week mgao wake
Wakati Dar is Slum inapokea umeme was mgao???
 
Hakuna raisi bora kama Raisi Uhuru Kenyatta katika Afrika ya Mashariki.
 
I know everyone praises his own nation, but TZ on military strength you really over-estimate yourself.
Trust me we are not over estimate ourselves... We are real good Anko trust me we are daaamnn good ea hamna nchi inaweza simama na tz kwenye vita amini hilo...
 
I know everyone praises his own nation, but TZ on military strength you really over-estimate yourself.

Sikiliza mziki huoo, yaani ni hatari fire. Katika jeshi bora Subsahara Afrika, ni South Africa, Tanzania na Ethiopia.
 
Sikiliza mziki huoo, yaani ni hatari fire. Katika jeshi bora Subsahara Afrika, ni South Africa, Tanzania na Ethiopia.

1.Egypt
2.Algeria
3.South Africa
4.Nigeria
5.Ethiopia
6.Morocco
7.Tunisia
8.Kenya
9.Sudan
10.Angola

Jadili na facts,najua wewe mzalendo unaipenda nchi yako lakini ukweli ubaki kuwa ukweli! Punguza ushabiki.
 
1.Egypt
2.Algeria
3.South Africa
4.Nigeria
5.Ethiopia
6.Morocco
7.Tunisia
8.Kenya
9.Sudan
10.Angola

Jadili na facts,najua wewe mzalendo unaipenda nchi yako lakini ukweli ubaki kuwa ukweli! Punguza ushabiki.
Hahahahaha, Hahahahaha, onyesheni uwezo wenu acha kelele
 
Back
Top Bottom