Uhuru Kenyatta anafanya kazi nzuri sana dhidi ya Somalia

Sis tulizoeshwa na kikwete kukwepa kod kwahyo wacha tulipe wacha magu atunyooshe lakn hata km sisi twalipa sana kodi mbona nyie msiolipa km sis mnachukua mda kujenga na mbabak ishi ktk apartment za kupanga
hahaaaaa...umetema povu km watu kumi walai...bwahahaaa....mtalipia mpka hewa mwisho nakwambia...
 
Mbona hamjeng mnabaki kupanga nahs ww mpangaji ht kibanda huna
watu wana viwanja makwao mpaka vimeota nyasi vingine...lkn hamna siku mtu atakuja kutafuta eti ujenge au kitaifiswhe ..ardhi ni ya kila mtu bana....bora hela zako..vp unakisima kwanza nikusaidie kukilipia kodi...bwahahaa
 
Asa we mzma kwel si ndio inajengwa wait iishe uone vdume tunavyoifanyia kaz
Kwani wewe unatarajia ikamilike? Fungua macho mwanangu bana. Haikamiliki kabla uchaguzi bana!
 
We kweli pompi station ya kwanza itafunguliwa kirosa November acha ubishi km mshipa
Kwani wewe unatarajia ikamilike? Fungua macho mwanangu bana. Haikamiliki kabla uchaguzi bana!
 
Ww umeiona kurasin ya sasa au unaropoka au umeiona mbagala ya sasa hzo ni pic za miaka ile mbagala haiko hvyo nowadays nenda kijichi uone miji inavyojengwa
Uongo unakusaidia nini?!
 
Unaangaliaga reli tv au unabwabwaja tu reli imetandikwa kwa upande wa kule juu tokea rengerenge kuelekea kirosa na kwa upande wa kuanzia dar ndio unaendelea kutandikwa maana asilimia 47 imeshakamilika bado asilimia chache tuu zilizobak reli ikutanishwe Kirosa watu November watumie toka Dar to kirosa hzo phase nyingine kuelekea mpk kaskazin wanasubiri mrad wa stiblers maana tz bado hatuna umeme sufficient wa kuendesha hzo sgr kwa sasa kwahyo ilobakia itachukua miezi 32 piga mahesabu itakua mpk mwaka upi
Kulingana na CCMu?
 
Kurasin kwanza asilimia kubwa imebomolewa nikuumbue wamejenga wawekezaji wa makampuni tofaut maeneo yalobaki ndio wanaishi hasa watu wa bandari na wanachuo wa TIA ukae ukilijua hilo
Uongo unakusaidia nini?!
 
Hadi Morogoro??? Nilifikiri Hadi Dodoma kutoka Kibaha 😂😂
 
We mbwataji angalia mbagala kijichi unayoisema ina slums na huyo mbwataji mwenzio inavyojengwa sasa hv unaropoka tuu hyo ndio mbagala mnayoisema ina slums
Uongo unakusaidia nini?!
 
Sasa umeme wenyewe tz wa kusuasua hawawez endesha mrad wa sgr bila umeme wanavizia stiblers ikamilike
Kwani Struggles gorge ni ya Kazi gani ama mtaanza na diesel engine???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…