Ummayed
JF-Expert Member
- May 21, 2019
- 6,155
- 2,580
Mpk sasa Umeshinda vita gan na km umetushinda economic wise mbona percent zako za ukuaji uchumi ni stagnant ht Rwanda mwak jana alikushinda una economic wise ipi kila siku mambo yaleyale hauna mabadiliko
ha ha ha vita TZ imepigana tu ni Uganda war , na niliiwambia Amin alikuwa amesambaratisha Uganda kwa hivyo jeshi lake lilikuwa dhaifu sana, isitoshe Waganda walikuwa hawamtaki na wengi wao waliunga mkono TZ.
Kenya, tumewashinda - technologia , economic wise, military assets, Training, logistics capability ... sasa mtashinda vipi.
Wacheni kujiaibisha... vita vya TZ na KE, haviwezi kupita wiki tatu, wiki ya nne GSU na AP watakuwa wanafanya mop-up Dar ..