Uhuru Kenyatta anafanya kazi nzuri sana dhidi ya Somalia

Wewe si shujaa vita ngap umeshinda km sio alshabaab wanakuingilia had toilet
Kama vita havishindwi kwa makaratasi vitashindwa kwa mdomo wenu...shinda hapa ukiongea kuhusu Iran.. little knowledge is very dangerous
 
Mbona bado wanawasumbua till now hao wasomali
LMFAO... that's what you call 200 missiles in 30s ? ati iron rain hahaha....I wish you could see how kdf artillery shells alshabaabs positions I will post the video here in 2hrs time.
 
Ndivyo mnavyojidanganya wanyonge wa alshabaab
 
We nawe mwongo uliangalia alaiki ya sherehe ya maadhimisho ya uhuru mwaka 2014 zilitoka fight jets mm mwenyewe sikujua km tz wanazo
 
Halijui hilo
Wewe ndunya jw ilipeleka pilot na engineer kitambo sana huko wakajifunze alafu umahiri wa pilot wa JW ni wa toka kitambo

Robert mbona ndie pilot wa kwanza Africa aliyeweza kufanya mig-21 ndege ya kizamani isionekane kwenye radar
 
We unajua what is missile
4 z9w and 35MD 500 TOW light attack Helicopters plus recent purchases of cobras and fennecs . Tanzania just cant match that fire power.
Helicopters only! hahaa
 
Nakushaur ingia YouTube utazame maadhimisho ya sherehe za muungano wa tanganyika na zanzibar uone fighter jets na vifaru toka Israel venye uwezo wa kutembea ht ktk maji then compare na rubbish za kenya
4 z9w and 35MD 500 TOW light attack Helicopters plus recent purchases of cobras and fennecs . Tanzania just cant match that fire power.
Helicopters only! hahaa
View attachment 1107790View attachment 1107794
 
Btw our MD 500 are also equiped with hellfire missiles .kwani mnadhani missiles ni nini😂😂....you thought it's a new term only known by Tanzanian soldiers?
 
Btw our MD 500 are also equiped with hellfire missiles .kwani mnadhani missiles ni nini😂😂....you thought it's a new term only known by Tanzanian soldiers?
I forgot to add they are laser guided
 
Umeziona mig-21s wakenya mkizingua tunawachapia hzo baadhi tu zingine zpo mafichon
Btw our MD 500 are also equiped with hellfire missiles .kwani mnadhani missiles ni nini[emoji23][emoji23]....you thought it's a new term only known by Tanzanian soldiers?
 
Btw our MD 500 are also equiped with hellfire missiles .kwani mnadhani missiles ni nini😂😂....you thought it's a new term only known by Tanzanian soldiers?
The supreme art of war is to subdue the enemy without a fight..
That is how Russia attacked america and put their puppet as president. If Tz wants to attack kenya, its very easy and no bullet will be fired..For now nothing is intresting in kenya only hunger aids and fake gold/dollars
 
Bora umewaambia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…