joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Ubaguzi ni ubaguzi, hauna nchi, dini wala rangi. Wakenya ni wabaguzi sana, wasomali ni wabaguzi sana, wote ni wabaguzi usianze kujenga hoja ya kuhalalisha ubaguzi uliopo Kenya.sasa mtanzania aede kenya na mwngine aende somalia...uone wapi atabaguliwa...ishu za kenya za siasa zisikutie tumbo joto...
nenda somalia alafu ulete marejesho..ama hata somalia ni mbali..nenda garissa tu
heheee..hata tanzania basi pia kuna ubaguzi km n hvo...kinara akiwa CCM...bwahahaaaUbaguzi ni ubaguzi, hauna nchi, dini wala rangi. Wakenya ni wabaguzi sana, wasomali ni wabaguzi sana, wote ni wabaguzi usianze kujenga hoja ya kuhalalisha ubaguzi uliopo Kenya.
Sawa sawa kabisa, sasa hao wanaotushawishi kuwatenga wasomali kwasababu ni wabaguzi, wamesahau kwamba hata hao wakenya wanabaguana kutokana na makabila yao?heheee..hata tanzania basi pia kuna ubaguzi km n hvo...kinara akiwa CCM...bwahahaaa
naona uko na furaha sasa..nikuulize...mkenya akija tanzania na mkenya akienda somalia..ni wapi atabaguliwa...naona kidogo sasa akili amerudi bahali yake matu yanguSawa sawa kabisa, sasa hao wanaotushawishi kuwatenga wasomali kwasababu ni wabaguzi, wamesahau kwamba hata hao wakenya wanabaguana kutokana na makabila yao?
kwahyo umekubali km jiwe aka chuma, Maguufuli..anawaburuza na kutaka kuumaliza upimzani...Sawa sawa kabisa, sasa hao wanaotushawishi kuwatenga wasomali kwasababu ni wabaguzi, wamesahau kwamba hata hao wakenya wanabaguana kutokana na makabila yao?
Hahahahaha, dhambi ya ubaguzi ni sawa kula nyama ya MTU, utaendelea tu.Wakenya ni Wabantu wenzetu.
Hahahahaha, Hahahahaha, Hahahahahakwahyo umekubali km jiwe aka chuma, Maguufuli..anawaburuza na kutaka kuumaliza upimzani...
ndugu yangu...si hao hao tanzania waliopinga vikali km somalia hafai kujiunga na umoja wa afrika masharikiWakenya ni Wabantu wenzetu.
jibu hoja basi....Hahahahaha, Hahahahaha, Hahahahaha
Tribalism hoyeeeeeeeee.
That must be a breaking news" Mjaluo na mkikuyu wataweza kuishi kwa amani kweli?". Dunia simama tushuke.jibu hoja basi....
mtoto wa uhuru kaoa mjaluo...bwahahaaa....
Luos are nilotes and Kikuyus are bantus.Hahahahaha, dhambi ya ubaguzi ni sawa kula nyama ya MTU, utaendelea tu.
Waulize wakenya, kwani Jaluo na Kikuyu sio Bantu?, mbona wanabaguana?
Hahahahaha, kama kuoana kunamaliza ubaguzi, mbona kuna wasomali wengi tu wameolewa au kuoa wabantu?. Huku Tanzania tunao wengi sana wameolewa na watanzania wabantu.Luos are nilotes and Kikuyus are bantus.
Wala hamna ubaguzi, kwa mfano mwana siasa Babu Owino (Luo) ameoa msichana toka wakikuyu. Mwanawe Rais UK ameoa msichana wa kidhuluo!
Senior Counsel James Orengo ameoa wapi? Naweza kupa mifano mingi tu
Ben Kitili is a Kenyan media personality,from the kamba community unajua ameoa wapi? A Somali lady. Hizi fikra umekomalia ya kamba Kenya kuna ubaguzi tumalize leo!Hahahahaha, kama kuoana kunamaliza ubaguzi, mbona kuna wasomali wengi tu wameolewa au kuoa wabantu?. Huku Tanzania tunao wengi sana wameolewa na watanzania wabantu.
Somalia kuna ubaguzi sanasasa mtanzania aede kenya na mwngine aende somalia...uone wapi atabaguliwa...ishu za kenya za siasa zisikutie tumbo joto...
nenda somalia alafu ulete marejesho..ama hata somalia ni mbali..nenda garissa tu
Somalia inataka kuiba mpaka wa Somaliland vilevile.Imhotep wewe mjamaa ni msomaliland , nafatilia sana mada zako una mahaba mazito na Somaliland, naona mnaanza propaganda zidi ya ndugu zenu wasomalia duuh kweli ,dunia tambala bovu.