Uhuru Kenyatta anafanya kazi nzuri sana dhidi ya Somalia

Nimekupa mifano bado unabisha! Baki hivyo sina la ziada!
Nani aliyekuambia kwamba kuoana kunaondoa ubaguzi?, hata USA, wazungu na watu weusi wengi wameoana lakini ubaguzi bado unaongezeka
 
Nani aliyekuambia kwamba kuoana kunaondoa ubaguzi?, hata USA, wazungu na watu weusi wengi wameoana lakini ubaguzi bado unaongezeka
Feeding words in my mouth! Nionyeshe niliposema ndoa humaliza ubaguzi?
 
Tanzanians are commenting here hating, they don't know if Somali's border is drawn as somalis are saying, that will affect the Kenyan / Tanzanian marine border too...
 
Tanzanians are commenting here hating, they don't know if Somali's border is drawn as somalis are saying, that will affect the Kenyan / Tanzanian marine border too...
The dispute is ke v somalia
If kenya feels like involving Tz, they are free to do so at their own risk..
Shame take migingo back first
 
Tanzanians are commenting here hating, they don't know if Somali's border is drawn as somalis are saying, that will affect the Kenyan / Tanzanian marine border too...
Sasa ngoja niwashauri, wapeni Somalia hilo eneo lao, then njooni Tanzania tutawapa eneo lenu.
 
Asante sana kama ungekuwa karibu ningekununulia beer.
 
Wacha upuzi. Hapa nimekupotezea heshima. Chuki yako ya Kenya imekufanya utamani kuona Kenya iliyo landlocked. Punguza chuki. Hebu tazama video ya kwanza iliyopostiwa na utulie.
 
Nna assume hicho kisiwa kingekua na mvutano kati ya Uganda na Rwanda tuone kama M7 angeweza kumnyanganya Kagame hahah
Nakuhakikishia kwamba simba aliyenyeshewa bado ni simba, usimdunge jicho kwa kidole, hutaishi kuelezea kilichotendeka. Mmezoea kuona kanchi kapole kanaitwa Kenya kila mtu anakadharau lakini kila mtu ana mwisho wa uvumilivu wake. Potelea pote. Wacha sasa tuwe wanyama na kudeal na hawa takataka Somalia bila huruma. Hamna haja ya upole wakati unayejaribu kumsaidia ni kichwa ngumu kushinda mawe. Kabla hatujateremsha kichapo Somalia tuanze na Tanzania kwa sababu wana midomo kubwa kama kasuku.
 
Huu mgogoro ni kwa ajili ya mafuta na gas kupatikana? Au ni maji ya bahari?
Kweli tamaa zitasababisha matatizo ambayo hayataisha
 
Wacha upuzi. Hapa nimekupotezea heshima. Chuki yako ya Kenya imekufanya utamani kuona Kenya iliyo landlocked. Punguza chuki. Hebu tazama video ya kwanza iliyopostiwa na utulie.
Kila Mara ninarudia kwamba ninyi wakenya uwezo wenu wa kufikiria ni mdogo sana. Sasa kama Kenya mpo na haki kwanini msisubiri uamuzi wa MAHAKAMA?.

Tony254, hii Tania yenu ya kujifanya mnajua kila kitu, hii tabia ya kujifanya kwamba siku zote ninyi wakenya ndio mpo "right" na wengine wote wapo "wrong", ndio inayofanya mgombane na nchi nyingi hapa Africa.

Upande wa Uganda mnadai kisiwa cha Migingo kipo Kenya, na mnadai ninyi ndio mpo sawa, huko South Sudan pia mnagombania mpaka, na mnadai mpo sawa. Somalia haikuingia kwa nguvu kuchukua eneo Leo, imechukua hatua za kisheria, kitu cha kusikitisha ni kwamba, hata ICJ hamuiheshimu, tayari mpo na maamuzi yenu.
 
Naomba utazame video ya kwanza ndio tuweze kujadiliana. Ukishatazama utaona jinsi border kati ya T.Z na KE ni mstari straight horizontal na ule kati ya Kenya na Somalia ni diagonal. Hivi Kama Somalia watakubaliwa kuchonga border yao iwe diagonal kuelekea chini basi sisi hatuna budi kuchonga yetu iwe diagonal kuelekea chini upande wa T.Z halafu tuende kwa hio hio korti na kuwauliza watupe border yetu mpya kutoka kwa Tanzania kama vile Somalia walivyopewa.
 
Tony254, kama hatutoheshimu mahakama, dunia itakua ni sehemu ya fujo sana. Hayo yote unayosema, MAHAKAMA inajua zaidi kuliko Mimi na wewe, kwasababu Kenya mumeamua kutumia wanasheria toka LONDON, inasemekana ni miongoni mwa wanasheria bora kabisa hapa duniani, sasa kama hayo unayosema ni ukweli, hawawezi kushindwa hiyo kesi, ila kama sio kweli, watashindwa na ni lazima mkubaliane na maamuzi ya MAHAKAMA.

Ninyi wakenya ni watu wenye matatizo sana, sio rahisi kuelewa na nchi zingine, mbona sisi na Malawi tuna mgogoro kama huo lakini tumetulia tunasubiri kisuluhishwa, kamwe hatusemi kwamba sisi ndio tupo na haki zaidi ya Malawi.

Kenya mlishapiga kampeni kutaka kushawishi nchi za Africa kujitoa ICC kwasababu viongozi wenu walipelekwa huko, sisi tuliwakatalia kuwaunga mkono. MAHAKAMA kuu ilipotengua matokeo ya Uchaguzi, Uhuru na Rutto walimtukana na kumtishia saba CJ, sasa hivi muneshaanza kuishutumu ICJ, ninyi ni watu wa ajabu sana.
 
Jambo la muhimu hapa ni border inachongwa kuenda straight mbele au inachongwa kuelekea chini. Mahakama ikiamua kwamba border inastahili kuchongwa kuelekea chini basi tutakubali maamuzi na kuwapa Somalia lakini sisi nasi tutachonga border yetu kuelekea kusini na kuenda kwa korti hio hio na kuitisha haki yetu kama vile Somalia walivyopewa. Korti hio itakuwa imeset precedent kwa kesi ya Somalia kwa hivyo haitaweza kupinga kesi yetu. Tutapewa bahari lenu.
 
Sisi ni nchi yenye watu makini wenye kufuata sheria, sio kana ninyi kila mara kulalamika na kujifanya wakati wote ninyi ni "victims", tabia hiyo ndiyo inayosababisha Kenya na Tanzania hatuelewani, jaribuni kuwa humble Tony254, hivi hamjishangai mlivyo?, ninyi ni watu wa kulalamika muda wote kwamba dunia nzima haiwapendi.

Kama MAHAKAMA itaamua kuchukua bahari ya Tanzania iwe yenu, hutosikia Tanzania ikilalamika, kwasababu tutajua hiyo ni sehemu ya Kenya. Badilikeni Tafadhali, kweli mnakera sana, yaani majirani zenu wote tumewachoka Sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…