Tusijidanganye Bongo imejaa masikini vilevile nyumba za tembe kibao.
Nshakwambia na ninarudia tena komaaeni na wasomalia mkiwaachia mkae mkijua huku kusini hamna kitu..et Pemba iwe Kenya hahahaha wee jamaa unavituko sanaUpumbavu wako umezidi, no wonder nyinyi badi ni LDC.. soma hii article hapa.
Kenya or Somalia: Who owns the sea? – DW – 09/19/2016
For years, Kenya and Somalia have argued over where their maritime boundary in the Indian Ocean runs. The International Court of Justice in The Hague could now decide who owns the sea, a decision that will only suit one.www.dw.com
Eti hamna kitu, Kenya ikipigana vita na TZ mtaambulia patupu, wacheni kujichocha, tutasimamia Lake Malawi.Nshakwambia na ninarudia tena komaaeni na wasomalia mkiwaachia mkae mkijua huku kusini hamna kitu..et Pemba iwe Kenya hahahaha wee jamaa unavituko sana
Acha porojo kijana
Kenya ardhi yake iko juu na ni ghali tofauti na ilvyo Tanz.Sio km kenya babu ww kenya huwez jenga kiurahis km bongo mshahara huo huo ukalipe kodi kubwa ule upange budget zako utajenga lin ilhal bongo mliachiwa slope kipind cha kikwete mkawa mwajichotea tu hela
Dogo usichokoze nyuki.
Wabongo kwa porojo!...sisi SGR yetu inasuasua kabla haijaanza
Wewe hujui hata ADUI yako ni nani.
SGR ya kenya inafanya kazi wakati ya kwetu bado hata haijafika popote halafu unasema mambo ya Opera mini!...kha!We kafatilie habar nenda opera mini kuna opera news ingia ktk siasa tafuta hzo habar naona unabwabwaja tu Sgr ya bongo inaendelea bila utata wowote na November twaanza kuitumia licha ya hivyo mgr inafufuliwa kaskazin mwa Tz na Tanga na inaboreshwa usifananishe railway corporation ya tz na ke ya ke ni ya kI blee ble blee
Kenya ardhi yake iko juu na ni ghali tofauti na ilvyo Tanz.
Ila Kenya ni tajiri kiuchumi
Kenya ardhi yake iko juu na ni ghali tofauti na ilvyo Tanz.
Ila Kenya ni tajiri kiuchumi
Uvivu wako wa kutafuta fedha mbona mimi nimekaa Kenya na Kuna maisha Bora kutuliko.
Uvivu wako wa kutafuta fedha mbona mimi nimekaa Kenya na Kuna maisha Bora kutuliko.