Ummayed
JF-Expert Member
- May 21, 2019
- 6,155
- 2,580
Sio km kenya babu ww kenya huwez jenga kiurahis km bongo mshahara huo huo ukalipe kodi kubwa ule upange budget zako utajenga lin ilhal bongo mliachiwa slope kipind cha kikwete mkawa mwajichotea tu hela
Tusijidanganye Bongo imejaa masikini vilevile nyumba za tembe kibao.