Uhuru Kenyatta anafanya kazi nzuri sana dhidi ya Somalia

Pengine umekaa huko kwa wajaruo wenzako huku hujarudi muda mrefu embu njoo upaone kwanza changes za haraka zinavyotokea

Huu ni Mkoa wa Dodoma 2019 kilomita chache tu kutoka Bunge letu tukufu.
 
ummayed...mbna maelezo ni mengi...au nikupe data....mambo sijui maisha ni rahisi..hyo ni kawaida kwa nchi maskini(ldc) vitu kuwa rahisi...
na usitudanganye hapa...bei za bidhaa kenya tz hazipishana kw mbali...so porojo sitaki...

joto la jiwe...nikikuletea comments za watanzania wenzako hapa jf utakimbia...mwisho utawavua utaifa na kuwaita raia haramu...so kw comments usiguse kabisa...

imhotep..umejionea mwenyewe..kw kuongea ukwel ukavuliwa utaifa tayari....hahahaaaa.

kweli watu wa ndioo ni madondocha...mtu anaiamini ccm hata kuliko wazazi wake
 

Huu ndio ukweli wa Afrika tusijidanganye
 
Pamoja na Shida zetu Wasomali wasituchezee sisi wana wa Afrika mashariki
 
kwanza ujue ummayed..kenya hatulipii kodi nyumba au kiwanja kwa serikali....labda biashara na majengo ambayo ni ya biashara..tena hayo majengo ya biashara labda city center ama town center...
 
kwanza ujue ummayed..kenya hatulipii kodi nyumba au kiwanja kwa serikali....labda biashara na majengo ambayo ni ya biashara..tena hayo majengo ya biashara labda city center ama town center...
Somo zuri.
 
Umekosea saana kumjibu vizuri na ukweli mtupu mtu mpumbavu
 
What about migingo factor
 
Tz hatuna past victories, we persuing them now, to the extent wakenya wengi mnapatwa na jealous
 
Sio kuwa Tz ni member wa NAM Bali ndio muanzilishi wa NAM chini ya genius nyerere
Baada ya kuona dalili za kuanguka kwa ujamaa na kugundua ubepari umetamalaki ndio Tz ikaanzisha NAM
 
Mashujaa wa ukora na utapeli?? Kenya mnatia sana aibu huu ukanda yaani kila nchi inatake step forward kasoro nyie wakenya rushwa wizi yaan mnaenda nyuma wenzenu tunaenda mbele
Like I said before the amount of resources and money Tanzania has lost over the years is much more than that of Kenya and nobody is ready to admit.
 
Tz hatuna past victories, we persuing them now, to the extent wakenya wengi mnapatwa na jealous
Who is jealous of Tanzania?...I think no Kenyan is jealous of Tanzania most are preoccupied with solving their own problems very few Kenyans even know you are building sgr .You guys are the one jealous of Kenya .
 
Na km wana uchumi imara mbona hawapigi maendeleo zaid sisi tz tuliotoka nyuma tunawakuta na tutawapita hv ht maana ya uchumi imara unajua ww au unaropoka uchumi imara ni km wa Egypt ama Morocco sio wa kenya ambae mirad yake amechukua muda kuiendeleza mpk tunamkuta nina wasiwasi na ww unaishi kwa kasumba pole sana
Sasa wacha kupepeta uongo Kenya ina uchumi imara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…